Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,753
- 218,340
Taarifa ikufikie popote Ulipo duniani , Kwamba miongoni mwa mambo Makubwa yatakayotokea leo Duniani ni Pamoja na Chama kinachoungwa mkono na Watanzania wengi kuliko Chama chochote cha kisiasa , CHADEMA leo 10/01/2024 kinatoa maoni yake kwenye Kamati maalum ya Bunge kwa ajili ya Marekebisho ya Sheria za Uchaguzi .
Ikumbukwe kwamba Chadema ndio Chama Pekee cha Kisiasa nchini Tanzania ambacho harakati zake za kudai Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi zinamaanisha kupigania haki kweli , Chama hiki Hakitanii , kinataka kweli Uchaguzi ulio huru na haki , Si ili chenyewe kishinde , Bali kinataka wataoshinda washinde kwa haki bila kubebwa na yeyote .
Taarifa nyingine inasema kwamba vyombo kadhaa vya Habari vya Kimataifa tayari vimo ndani ya Bunge hilo ili kusikiliza maoni kutoka kwa chama pekee cha kisiasa kinachopigania haki nchini Tanzania
USIONDOKE JF , KWA VILE MIMI MTUMISHI WENU TAYARI NIMEUNGANISHA WAYA NA NZI WANGU ALIYE NDANI YA BUNGE HILO
=====
John Mnyika azuiwa kusoma UtanguliI , akatishwa mara kwa mara , Ni wazi kamati ya Bunge inataka kuleta maoni ya Mfukoni mwake .
CHADEMA yashauri Serikali kuondoa miswada yote hii na kuileta Upya , yamuomba Rais kuingilia kati kwa kukutana na Wadau wenye weledi .