Wananchi wako tayari kuchangia mishahara ya Wafanyakazi wa Tume Huru kama wanavyochangia mbio za mwenge

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,249
Baada ya mivutano ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba kuhusu Tume ya Uchaguzi kuajiri wafanyakazi wake yenyewe , badala ya kutegemea Makada wa ccm wale Wakurugenzi wa Halmashauri , Tuliamua kufanya Utafiti mdogo mitaani .

Kiukweli Wananchi wanapinga kabisa Wakurugenzi kusimamia uchaguzi , hii ni kwa sababu wakurugenzi hao ni Makada halisi wa CCM na ni Wafia Chama .

Hata hivyo wananchi wameahidi kwamba wako tayari kuchangia mishahara ya Wafanyakazi wapya wa Tume kwa uaminifu kama vile wanavyochangia Mbio za mwenge milele na milele , kwa hiyo visingixio vyovyote vya kukwepa jambo hili kwa sababu ya ukosefu wa fedha havitakubalika .
 
Yatakuwa yale yale tu.

Aliye kuchangia pesa nyingi zaidi ndio atakuwa mgombea wakupitishwa.

Hata wale wakimbiza Mwenge, akiongezewa pesa kidogo, naye anaongeza kukimbiza mwenge, tena kwa mbwembwe, kilomita nyingi zaidi.
 
Jana nimeangali mdajala wa TBC Benson Kigaiga, Wasira, Hamad Rashid na Doroth wa ACT ulikuwa ni mjadala bora sn
 
Baada ya mivutano ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba kuhusu Tume ya Uchaguzi kuajiri wafanyakazi wake yenyewe , badala ya kutegemea Makada wa ccm wale Wakurugenzi wa Halmashauri , Tuliamua kufanya Utafiti mdogo mitaani .

Kiukweli Wananchi wanapinga kabisa Wakurugenzi kusimamia uchaguzi , hii ni kwa sababu wakurugenzi hao ni Makada halisi wa CCM na ni Wafia Chama .

Hata hivyo wananchi wameahidi kwamba wako tayari kuchangia mishahara ya Wafanyakazi wapya wa Tume kwa uaminifu kama vile wanavyochangia Mbio za mwenge milele na milele , kwa hiyo visingixio vyovyote vya kukwepa jambo hili kwa sababu ya ukosefu wa fedha havitakubalika .
Kama tunavyochangia join the chain vikoba saccos ufipa!
 
Hapa hoja ya msingi ni wakurugenzi kuingia kwenye mtego wa Mgongano wa kimaslahi kwenye uchaguzi. Hii ni pamoja na Rais mwenyewe,Wabunge na Madiwani.iwapo wataachwa waendelee kusimamia kuna uwezekano wa wananchi wengi kutopiga kura.
 
Yatakuwa yale yale tu.

Aliye kuchangia pesa nyingi zaidi ndio atakuwa mgombea wakupitishwa.

Hata wale wakimbiza Mwenge, akiongezewa pesa kidogo, naye anaongeza kukimbiza mwenge, tena kwa mbwembwe, kilomita nyingi zaidi.
Kwani wananchi wako chama gani ?
 
Wananchi gani hao? Mimi hapana aiseee, siwez changia pesa za matumbo ya watu zaidi ya hii kodi
 
CCM wanajua fika kwa Tume huru isiyo na upendeleo wowote basi wanakabidhi madaraka na hilo kamwe hawatakubali liwatokee.
Kinachofanyika hapa ni justification mbele ya uso wa mataifa kwamba Rais na Serikali yake wanachukua hatua kabla ya uchaguzi mkuu 2025 kupunguza kero na kuweka mifumlo thabiti lakini ki uhalisia hakutakuwa na jipya.
 
Kwa hio nikiwa tayari kuchangia mwenge maana yake nipo tayar kuchangia mishahara ya wafanyakazi wa tume ya uchaguzi?

Hivi unafikiria au unaropoka tu ?
sasa kama unachangia ujinga wa Mwenge utashindwaje kuchangia Tume huru ?
 
Baada ya mivutano ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba kuhusu Tume ya Uchaguzi kuajiri wafanyakazi wake yenyewe , badala ya kutegemea Makada wa ccm wale Wakurugenzi wa Halmashauri , Tuliamua kufanya Utafiti mdogo mitaani .

Kiukweli Wananchi wanapinga kabisa Wakurugenzi kusimamia uchaguzi , hii ni kwa sababu wakurugenzi hao ni Makada halisi wa CCM na ni Wafia Chama .

Hata hivyo wananchi wameahidi kwamba wako tayari kuchangia mishahara ya Wafanyakazi wapya wa Tume kwa uaminifu kama vile wanavyochangia Mbio za mwenge milele na milele , kwa hiyo visingixio vyovyote vya kukwepa jambo hili kwa sababu ya ukosefu wa fedha havitakubalika .
Kwani hii kamati ya bunge kukaa Dodoma kucbukua maoni ambayo pia yana onekana ni usanii wao wana lipwa na nani ?.
Ccm hufanya vitu vingi kwa hila sana.
Yeye mwenyekiti kajuaje serikali haina pesa? Wao ndio wasemaji wa serikali?
 
Hapo sasa !
 
Back
Top Bottom