Ni sahihi chama cha walimu Tanzania kutumia michango ya walimu kuwachukulia fomu wagombea?Mchakato wa kupitisha fedha hizi upo kisheria?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
943
4,461
Inapotoa toa fedha kwa jina la taasisi maana yake hizo ni fedha za taasisi.

Kumeibuka kauli kila kona ya nchi kwamba chama cha waalimu Tanzania kimetoa fedha za fomu baadhi zikienda kwa Mhe. Rais na nyingine sasa zinasambazwa kwa wabunge.

Walimu kwa mishahara yao ilivyo kila siku wanalalamika Kutoa michango. Lakini hapo hapo kwenye chama chao wanatenga michango yao ikawachukulie fomu wabunge ambao kila mwezi wanapokea si chini ya milioni kumi.

Najaribu kujiuliza hizi fedha kwanini wasingezitumia kusaidiana? Lakini pia vikao vinavyopitisha hizi pesa vinalipiwa na nani?nauliza kwa sababu vikao hivi unakuta vimeitishwa kwa hoja moja tu, je haya ni matumizi sahihi ya fedha za umma?

Lakini pia tujiulize hawa wanaojiita wanachama wa chama cha waalimu ni waalimu au niwanachama wa CCM wapo kazini?

Kama ni wanachama wa chama cha waalimu, kwanini waalimu wengi kila kona wanalalamika wanavyozalilishwa na wanaojiita viongozi wao.

Lini mwalimu atajikwamua kifikra?
 
Waalimu inabidi wakombolewe. Hiki chama chao kimehujumiwa kisiasa kiasi hakina maslahi na waalimu.
 
Inapotoa toa fedha kwa jina la taasisi maana yake hizo ni fedha za taasisi.

Kumeibuka kauli kila kona ya nchi kwamba chama cha waalimu Tanzania kimetoa fedha za fomu baadhi zikienda kwa Mhe. Rais na nyingine sasa zinasambazwa kwa wabunge.

Walimu kwa mishahara yao ilivyo kila siku wanalalamika Kutoa michango. Lakini hapo hapo kwenye chama chao wanatenga michango yao ikawachukulie fomu wabunge ambao kila mwezi wanapokea si chini ya milioni kumi.

Najaribu kujiuliza hizi fedha kwanini wasingezitumia kusaidiana? Lakini pia vikao vinavyopitisha hizi pesa vinalipiwa na nani?nauliza kwa sababu vikao hivi unakuta vimeitishwa kwa hoja moja tu, je haya ni matumizi sahihi ya fedha za umma?

Lakini pia tujiulize hawa wanaojiita wanachama wa chama cha waalimu ni waalimu au niwanachama wa CCM wapo kazini?

Kama ni wanachama wa chama cha waalimu, kwanini waalimu wengi kila kona wanalalamika wanavyozalilishwa na wanaojiita viongozi wao.

Lini mwalimu atajikwamua kifikra?
Waalimu ni wajinga mno siku hizi!
 
Waalimu ni vichaa
 
Matokeo ya form two yamedhihirisha ujinga wa walimu na ccm Yao asilimia 99.9999 wamefeli ila mtaani wanasema ufauli umeongezeka hiyo ndio Tanganyika
 
Nchi hii mahali tulipofeli kabisa ni kwa walimu na polisi. Sote tunajua hao ni watu wa namna gani.
 
Back
Top Bottom