Mshikamano: Watanganyika Wajazana Zanzibar kushiriki Sherehe za Mapinduzi Matukufu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
120,620
226,209
.
Screenshot_2024-01-12-20-10-43-1.png

Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar zingali zikiendelea huko visiwani , ambapo sherehe hizo kabambe zimefanyika kwenye Uwanja wa Aman, Gwaride Maalum na Hotoba za viongozi zimesikika .

Jambo kubwa la kufurahisha ni uwepo wa Watanganyika wengi kuliko wakati wowote tangu sherehe hizo zianze kufanyika miaka mingi iliyopita, Taarifa zisizo rasmi zinaeleza kwamba karibu nusu ya waliokuwa uwanjani hapo wametokea Tanganyika na labda viongozi wote wa serikali upande wa Tanganyika walikuwa uwanjani humo Wakiwemo hadi viongozi wa chini kama MA DC na MA RC, si wa sasa wala si wastaafu , Hakika jambo hili linahiraji kupongezwa.

Wafanyabiasha karibu wote wakubwa wa kutoka Tanganyika wameonekana Mjini Unguja , hili jambo ni la kupigiwa mfano.

Natoa pongezi kwa Kamati ya Maandalizi kwa mafanikio haya.
 
Nashukuru kwa kuliona hilo. Angalau wewe kichwa chako huwa kipo vizuri kiasi ukilinganisha na vuta bangi la home Mdude Nyagali😀😀😀
 
.View attachment 2870030Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar zingali zikiendelea huko visiwani , ambapo sherehe hizo kabambe zimefanyika kwenye Uwanja wa Aman , Gwaride Maalum na Hotoba za viongozi zimesikika .

Jambo kubwa la kufurahisha ni uwepo wa Watanganyika wengi kuliko wakati wowote tangu sherehe hizo zianze kufanyika miaka mingi iliyopita , Taarifa zisizo rasmi zinaeleza kwamba karibu nusu ya waliokuwa uwanjani hapo wametokea Tanganyika , na labda viongozi wote wa serikali upande wa Tanganyika walikuwa uwanjani humo Wakiwemo hadi viongozi wa chini kama MA DC na MA RC , si wa sasa wala si wastaafu , Hakika jambo hili linahiraji kupongezwa .

Wafanyabiasha karibu wote wakubwa wa kutoka Tanganyika wameonekana Mjini Unguja , hili jambo ni la kupigiwa mfano !

Natoa pongezi kwa Kamati ya Maandalizi kwa mafanikio haya .
Ukiwa hv unabalance story zako utakuwa mtu muhimu sana hapa JF
 
Ili siasa zikae vizuri ni lazima wazanzibari laki 3-5 wahamie bara, na wabara laki 2-3,wahamie visiwani.
Deep Intel tells...!
 
Mnataka muwafanye kama wapelestina?
Wapalestina ni ngumu kumiliki ardhi Israel japo wapo kwa kiasi fulani, umetoa mifano isiyofanania kabisa, sisi Tanzania tunataka kutengeneza BONDS YA KIPEKEE FOR FUTURE DECADE, HIVYO MSINGI UWEKWE SASA!
 
Wapalestina ni ngumu kumiliki ardhi Israel japo wapo kwa kiasi fulani, umetoa mifano isiyofanania kabisa, sisi Tanzania tunataka kutengeneza BONDS YA KIPEKEE FOR FUTURE DECADE, HIVYO MSINGI UWEKWE SASA!
Wewe utakuwa mgalatia mwenye nia ovu na Zanzibar
 
Vipi Joyce, Mbowe anaendeleaje? Mnaendelea kulamba asali ya ruzuku tu na hawara wako Mwenyekiti wa maisha wa CDM.
Joined nov 23 , Jifunze sana adabu kabla ya kudhalilika , mnapaswa kuwa na angalau uzoefu kabla ya kutukana , tukiamua usiione tena jf tunaweza ila tunawavumilia tu , kwa vile tunajua nyie wengi ni wajinga na mnatumwa tu , angalieni sheria za jf zinasemaje ?
 
Back
Top Bottom