Mbunge wa Monduli Fred Lowassa amemshukuru Askofu Mkuu mteule wa KKKT, Dkt. Alex Malasusa kwa namna anavyowatunza kiimani na wanamwombea Baraka tele katika majukumu yake mapya.
Askofu Malasusa ni...
Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Nchimbi amesema yeye anapenda kuongea na Kuwasikiliza Watu wenye akili
Nchimbi amesema hayo wakati akielezea jinsi Mwanasayansi nguli Dr Bilal alivyomfata Ili amuunge...
Hata kama wamemkabidhi akili Mbowe bado hawa jamaa ni ndugu zetu kwahiyo tunapaswa kuwashauri na kuwatia moyo kwenye wakati huu mgumu wanaopitia. Kiukweli kisiasa chama kikuu cha utoaji taarifa...
Habari ndugu na marafiki,
Ingawa ofisi ya chama physically haikuwa tatizo kwetu, tulitaka kwanza kupanda mbegu ya itikadi ya chama mioyoni mwa watanzania na tumefanikiwa vizuri sana. Torati ya...
Serikali inajaribu kukuza mambo ambayo yanatakiwa kuwa utamaduni wa kawaida.
Maandamano ni sehemu ya demokrasia na maandamano sio fujo ni haki ya kujieleze. Badala ya kujaza Polisi wa wanajeshi...
Hili ni moja la wazo la kipuuzi kupata kulisikia toka kwa kiongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo.
"Aina za Wabunge wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kuna aina kadhaa za Wabunge kwa...
Leo Makonda ameita vyombo vya habari, ameeleza mengi kuhusu kauli ya Mbowe kuhusu kujiondoa kwenye maridhiano. Amedai Mbowe ni mnufaika wa maridhiano na kwamba kama siyo maridhiano angekuwa yupo...
Mimi nikiwa namba moja wa kujitolea kufanya kampeni hizo za kiinjilisiti, ambapo zitakuwa za nyumba hadi nyumba, mtu hadi mtu
Kampeni aina hiii huvuna wanachama kwa wingi, na uhakika wa kuwafikia...
Salaam , Shalom!
Dr. Slaa amesema kuwa amefanikiwa kupata picha ya Police kuizingira Nyumba ya Nabii Mwabukusi.
Ikumbukwe pia, usiku wa kuamkia leo, Police walivamia Nyumba ya Askofu Mwamakula...
Bismillahir Rahmanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
BARAZA LA IDD ADH-HA, ALKHAMISI TAREHE 29.06.2023 -1444.
“HAKI NA UKWELI VITHAMINIWE”
FALSAFA YA IBADA YA HIJJA
Awali ya yote tunamshukuru...
Nchimbi atakuwa kiboko ya machawa na wanaccm kama akina NAPE na Makamba pamoja na kinana maana hao ni ndumilakuwili hawana msimamo wakengeefu na wenye kugeuka geuka
Jeshi la Polisi wilaya ya Kibiti limemkamata Rashid Mkinga (36) kwa tuhuma za kutengeneza Vyeti feki vya kuzaliwa. Tukio hilo lililotokea Januari 15, 2024 majira ya saa 1 usiku katika Kitongoji...
Habari zinaonyesha Tanzania tunapeleka wanajeshi Congo kwa mwamvuli wa SADC. Na kama tujuavyo wanajeshi watanzania pekee ndio huwa kwenye wakati mgumu kwani hupangiwa sehemu korofi hasa njia za...
Swali Kwa Katambi.
Waliorejedhwa kazini ni Standard 7 au Waliofoji vyeti?
=========
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobasi katambi amezungumza...
Daima sijawahi kuwa chawa wa mtu yeyote, na wengi wanalijua hilo.
Lakini kuna mambo ambayo Rais Samia anayafanya, anayaagiza na anayatamka, yanakufanya mtu ufikirie zaidi ya mara 2. Leo linaweza...
Tanzania kupitia kwa Waziri wa Mambo ya Nje, January Makamba, ameahidi kutatua na kusuluhisha mzozo wa Kenya na Tanzania Airways.
Kupitia chapisho kwenye X, January alifichua kuwa alizungumza na...
Binafsi ninaona Majimbo ya uchaguzi ni mengi mno hivyo ninaishauri Serikali kupunguza majimbo ya uchaguzi kwa ushauri ufuatao:
Jumla ya Halmashauri zote katika nchi hii ni 184 basi kwa mantiki...
Sisi wana umoja wa usafi Dar es Salaam naomba tuweke wazi Inasemekana kuna chama kilipanga maandamano kwa bahati mbaya ikagongana na siku ya usafi
tunaomba tuwajulishe hata wakihairisha sisi...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Paul Makonda Mwamba na katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa ameendelea kuwa mfano wa kuigwa na kuwa kiongozi anayeteka hisia za watu wengi sana...