Uzi maalum wa kuwashauri CHADEMA katika wakati mgumu wanaoupitia. Wanahitaji faraja

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,224
22,305
Hata kama wamemkabidhi akili Mbowe bado hawa jamaa ni ndugu zetu kwahiyo tunapaswa kuwashauri na kuwatia moyo kwenye wakati huu mgumu wanaopitia. Kiukweli kisiasa chama kikuu cha utoaji taarifa kina wakati mgumu... kimekataliwa kila kona hasa baada ya kutoa hoja zao zenye nia ovu kuhusu muswada wa sheria ya uchaguzi. Yaani viongozi na makada wengine waandamizi kila wanavyojaribu kuokoa jahazi ndo linazidi kuzama zaidi.

Kwa mfano mwenyekiti wao alikosa kabisa la kusema na kumtupia lawama mwenyekiti wa CCM Dr Samia kwamba anajuta kumuamini. Huu ni utetezi wa kitoto zaidi kuwahi kutamkwa na mwenyekiti wa chama kikuu cha watoa taarifa. Ghafla wamekuja na ishu ya maandamano huku katibu mkuu wao akitishia nyau kwa kusema hakuna wa kuzuia maandamano hayo haramu.

Ushauri wangu kwa hawa watoa taarifa ni kuwa watulie kwasababu kwa sasa wamechelewa sana. Waanze upya kwa nia ya kupata viti vingi vya wabunge kwenye uchaguzi wa 2030. Huu wa 2025 hawawezi pata viti vingi kwa sababu hawana wagombea wenye uwezo. Labda kama watawaomba msamaha Covid19 na kuwarudisha kwenye shughuli zao za kichama.
 
View: https://youtu.be/Vl6QMARq_zQ?si=hTkSSjF5HeIZtF6a
👆 inakuhusu.
 
Back
Top Bottom