Dkt. Nchimbi: Mimi napenda kuongea na Kuwasikiliza Watu wenye akili

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,034
142,095
Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Nchimbi amesema yeye anapenda kuongea na Kuwasikiliza Watu wenye akili

Nchimbi amesema hayo wakati akielezea jinsi Mwanasayansi nguli Dr Bilal alivyomfata Ili amuunge mkono kugombea uRais wa Zanzibar

Kiukweli Hoja za Dkt. Bilal zilikuwa na mashiko Lakini nilimkumbusha kuwa pamoja na uzuri wa Hoja zake Utamaduni na utaratibu wa CCM unaeleweka kwamba Rais Karume Mihula yake ni miwili na wakati huo alikuwa ndio ametumikia muhula wa kwanza, amesema Nchimbi

Wakati huo nilikuwa mwenyekiti wa UVCCM

Mlale unono 😀
 
Yeye mwenyewe hana akili
 
Daaaa naona mama anabebwa kw nguvu zoote.......kwa nini anaogopa kushindanishwa ? Yeye si ndio mwenyekiti ? Acha agombanishwe atashinda tu si anaamini smefanya?
 
Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Nchimbi amesema yeye anapenda kuongea na Kuwasikiliza Watu wenye akili

Nchimbi amesema hayo wakati akielezea jinsi Mwanasayansi nguli Dr Bilal alivyomfata Ili amuunge mkono kugombea uRais wa Zanzibar

Kiukweli Hoja za Dkt. Bilal zilikuwa na mashiko Lakini nilimkumbusha kuwa pamoja na uzuri wa Hoja zake Utamaduni na utaratibu wa CCM unaeleweka kwamba Rais Karume Mihula yake ni miwili na wakati huo alikuwa ndio ametumikia muhula wa kwanza, amesema Nchimbi

Wakati huo nilikuwa mwenyekiti wa UVCCM

Mlale unono
Kumbe huyu nae ni mwili tu...hahahaha
 
Mbona kila anayekuja haji na hoja namna ya kuwawezesha watanzania dhidi ya umaskini bali kulinda nafasi na vyeo vya watu

Inashangaza husikii mikakati ya haraka ya kupunguza matatizo kama mfumuko wa bei, umeme, maji, rushwa, afya, elimu, ajira, kilimo, katiba mpya.

Wanawaza uchaguzi, ulaji, madaraka ndio kipaumbele chao, ndio sababu pekee ya muhimu kwao.
 
Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Nchimbi amesema yeye anapenda kuongea na Kuwasikiliza Watu wenye akili

Nchimbi amesema hayo wakati akielezea jinsi Mwanasayansi nguli Dr Bilal alivyomfata Ili amuunge mkono kugombea uRais wa Zanzibar

Kiukweli Hoja za Dkt. Bilal zilikuwa na mashiko Lakini nilimkumbusha kuwa pamoja na uzuri wa Hoja zake Utamaduni na utaratibu wa CCM unaeleweka kwamba Rais Karume Mihula yake ni miwili na wakati huo alikuwa ndio ametumikia muhula wa kwanza, amesema Nchimbi

Wakati huo nilikuwa mwenyekiti wa UVCCM

Mlale unono 😀
Viatu havimtoshi maana kama ngekewa vile anaongea Kila kitu
 
Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Nchimbi amesema yeye anapenda kuongea na Kuwasikiliza Watu wenye akili

Nchimbi amesema hayo wakati akielezea jinsi Mwanasayansi nguli Dr Bilal alivyomfata Ili amuunge mkono kugombea uRais wa Zanzibar

Kiukweli Hoja za Dkt. Bilal zilikuwa na mashiko Lakini nilimkumbusha kuwa pamoja na uzuri wa Hoja zake Utamaduni na utaratibu wa CCM unaeleweka kwamba Rais Karume Mihula yake ni miwili na wakati huo alikuwa ndio ametumikia muhula wa kwanza, amesema Nchimbi

Wakati huo nilikuwa mwenyekiti wa UVCCM

Mlale unono 😀
Huyu katibu mkuu ni wa ovyo tu. Eti utaratibu na utamaduni wa ccm🤣. Kama kiongozi yuko tofauti na sera na itikadi ya chama au ni fisadi kwa hiyo aendelee tu bila kupingwa?
 
Back
Top Bottom