Kuamini kuwa ACT Wazalendo ni chama cha upinzani inahitaji uwe na akili kubwa sana

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,487
2,340
Ndugu zangu nawasabahi. Nimekuwa nafuatilia sana Siasa za Nchi hii na Vyama vyake.

Juzi tumevisikia VYAMA 15 na ACT WAZALENDO kikiwemo Kupinga MAANDAMANO ya AMANI yanayotarajiwa kufanywa na CHADEMA Chama Kikuu cha Upinzani wa KWELI.

SABABU za MAANDAMANO ya AMANI ya CHADEMA ni kushinikiza MCHAKATO wa KATIBA MPYA na TUME HURU ya UCHAGUZI Kitendo ambacho KINGEUNGWA MKONO na VYAMA VYOTE 15 kwani ni VIATHIRIKA na KATIBA na TUME iliyopo.

Kutokana na VYAMA hivyo 15 kikiwemo na ACT WAZALENDO Kupinga JUHUDI za CHADEMA kuharakusha Mchakato wa Kudai KATIBA MPYA na TUME HURU ni dhahiri VYAMA hivyo vinanufaika kama CCM inavyonufaika na KATIBA na TUME ya UCHAGUZI iliyopo na kwa kuwa CCM sio chama cha UPINZANI basi hivyo VYAMA 15 pamoja ba ACT WAZALENDO SIO Vyama vya Upinzani.

ACT WAZALENDO kimo kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa na CCM kule ZANZIBAR Kitendo ambacho kinakinzana na maana halisi ya UPINZANI.Haiwezekeni ACT WAZALENDO ikiwa ZANZIBAR iungane na CCM na kuunda hiyo SERIKALI na ikiwa huku TANGANYIKA eti ni CHAMA cha UPINZANI kuipinga CCM na kuonyesha kuwa ACT WAZALENDO sio Chama ni Upinzani ni pamoja na Kukipinga CHADEMA ktk Harakati zake za Kudai KATIBA MPYA na TUME HURU.

Tofauti ya ACT WAZALENDO na CCM ni RANGI za Vyama vyao lakini ACT WAZALENDO ni CCM na CCM ni ACT WAZALENDO hata kuanzishwa kwa ACT WAZALENDO wenye AKILI KUBWA tulijua kwa nini kimeanzishwa na kina MALENGO Gani ktk SIASA za Tanzania.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Kama mtu anajua siri(ujinga)zako zootee utaanzaje kumtania?CCM anavijua vyama feki vyote.Kwa hiyo akivituma vifanye hata upumbavu haviwezi kugoma kwa kuogopa kuumbuliwa hadharani.Ndiyo hayo ya ACT-wachumiatumbo na wenzao.
 
Back
Top Bottom