IMF yawapongeza Rais Samia na Waziri Mwigulu Nchemba

Nkerejiwa

Senior Member
Feb 25, 2014
146
214
•Yasema MR CLEAN ni Waziri Bora wa fedha afrika.
•Facts hizi za kichumi zimembeba.

Shirika la fedha la kimataifa IMF limemtaja Waziri wa Fedha wa Tanzania Mhe Dkt Mwigulu Nchemba (ambaye watanzania wengi hupenda kumwita “ Mr Clean ”) ni daktari bingwa wa uchumi na mtaalam halisi wa uchumi na ndio Waziri bora wa fedha aliesimamia kwa ubora wa hali ya juu misingi ya kichumi kuliko mawaziri wote wa fedha kwa nchi za Africa.

Hayo yamesemwa na IMF kufuatia report yao inayoitaja Tanzania kuwa ni mwiongoni mwa Nchi chache Duniani zenye Uchumi Imara.
IMF inasema Tanzania chini ya uongozi makini wa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan inatekeleza Miradi mingi mikubwa ya kimkakati na miradi mingi ya huduma za jamii lakini deni lake ni limeendelea kuwa dogo na himilivu, na kuweka wazi kuwa nchi ya Tanzania ni miongoni mwa nchi kumi zenye madeni madogo sana duniani kote, Pili IMF imesema licha ya misukosuko ya uchumi dunia, "Mr Clean" ameweza kubakiza mfumuko wa bei asilimia 3, Pia IMF imesema licha ya matatizo ya upatikanaji wa Fedha za Kigeni ulimwenguni kote "Mr Clean" ameweza kudumisha uimara wa shilingi ya kitanzania, na kwamba Tanzania ndio nchi pekee Africa Mashariki yenye uwiano mzuri wa vitabu vyake vinayoweza kuvutia mitaji ya Fedha.

IMF IMEMPONGEZA MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN KWA UONGOZI BORA WA TANZANIA, UADILIFU NA UTEKELEZAJI BORA WA MAENDELEO. TANZANIA IMEPIGA HATUA KUBWA KULIKO NCHI ZOTE ZA EAC NDANI YA MUDA WAKE.

Source: IMF MEDIA RELEASE

View: https://x.com/TanzaniaInsight/status/1737011736908103877?t=vB--7FMxeM4MECr6x59NaA&s=08

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1686792647954886657?t=SAEhofIp8pnLcHPy6x4-Zw&s=19

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1650769226699886592?t=_DqRd53M-71uPxneNyJCHg&s=19

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1647159085425467392?t=jGM_PNEJMz7sDkxLGnT6jw&s=19

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1625049055746306049?t=ltrjqJCC_wp0jj5V2h33Ew&s=19
 
IMF YAMPONGEZA DKT SAMIA SULUHU HASSAN NA DKT MWIGULU NCHEMBA.

• Yasema MR CLEAN ni Waziri Bora wa fedha afrika.

• Facts hizi za kichumi zimembeba.

Shirika la fedha la kimataifa IMF limemtaja Waziri wa Fedha wa Tanzania Mhe Dkt Mwigulu Nchemba (ambaye watanzania wengi hupenda kumwita “ Mr Clean”) ni daktari bingwa wa uchumi na mtaalam halisi wa uchumi na ndio Waziri bora wa fedha aliesimamia kwa ubora wa hali ya juu misingi ya kichumi kuliko mawaziri wote wa fedha kwa nchi za Africa.

Hayo yamesemwa na IMF kufuatia report yao inayoitaja Tanzania kuwa ni mwiongoni mwa Nchi chache Duniani zenye Uchumi Imara.

IMF inasema Tanzania chini ya uongozi makini wa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan inatekeleza Miradi mingi mikubwa ya kimkakati na miradi mingi ya huduma za jamii lakini deni lake ni limeendelea kuwa dogo na himilivu, na kuweka wazi kuwa nchi ya Tanzania ni miongoni mwa nchi kumi zenye madeni madogo sana duniani kote,

Pili IMF imesema licha ya misukosuko ya uchumi dunia, "Mr Clean" ameweza kubakiza mfumuko wa bei asilimia 3,

Pia IMF imesema licha ya matatizo ya upatikanaji wa Fedha za Kigeni ulimwenguni kote "Mr Clean" ameweza kudumisha uimara wa shilingi ya kitanzania, na kwamba Tanzania ndio nchi pekee Afrika Mashariki yenye uwiano mzuri wa vitabu vyake vinayoweza kuvutia mitaji ya Fedha.

IMF IMEMPONGEZA MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN KWA UONGOZI BORA WA TANZANIA, UADILIFU NA UTEKELEZAJI BORA WA MAENDELEO. TANZANIA IMEPIGA HATUA KUBWA KULIKO NCHI ZOTE ZA EAC NDANI YA MUDA WAKE.

Source: IMF MEDIA RELEASE
 
IMF YAMPONGEZA DKT SAMIA SULUHU HASSAN NA DKT MWIGULU NCHEMBA.

•Yasema MR CLEAN ni Waziri Bora wa fedha afrika.
•Facts hizi za kichumi zimembeba.

Shirika la fedha la kimataifa IMF limemtaja Waziri wa Fedha wa Tanzania Mhe Dkt Mwigulu Nchemba (ambaye watanzania wengi hupenda kumwita “ Mr Clean”) ni daktari bingwa wa uchumi na mtaalam halisi wa uchumi na ndio Waziri bora wa fedha aliesimamia kwa ubora wa hali ya juu misingi ya kichumi kuliko mawaziri wote wa fedha kwa nchi za Africa.

Hayo yamesemwa na IMF kufuatia report yao inayoitaja Tanzania kuwa ni mwiongoni mwa Nchi chache Duniani zenye Uchumi Imara.
IMF inasema Tanzania chini ya uongozi makini wa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan inatekeleza Miradi mingi mikubwa ya kimkakati na miradi mingi ya huduma za jamii lakini deni lake ni limeendelea kuwa dogo na himilivu, na kuweka wazi kuwa nchi ya Tanzania ni miongoni mwa nchi kumi zenye madeni madogo sana duniani kote, Pili IMF imesema licha ya misukosuko ya uchumi dunia, "Mr Clean" ameweza kubakiza mfumuko wa bei asilimia 3, Pia IMF imesema licha ya matatizo ya upatikanaji wa Fedha za Kigeni ulimwenguni kote "Mr Clean" ameweza kudumisha uimara wa shilingi ya kitanzania, na kwamba Tanzania ndio nchi pekee Africa Mashariki yenye uwiano mzuri wa vitabu vyake vinayoweza kuvutia mitaji ya Fedha.

IMF IMEMPONGEZA MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN KWA UONGOZI BORA WA TANZANIA, UADILIFU NA UTEKELEZAJI BORA WA MAENDELEO. TANZANIA IMEPIGA HATUA KUBWA KULIKO NCHI ZOTE ZA EAC NDANI YA MUDA WAKE.

Source: IMF MEDIA RELEASE
 
IMF YAMPONGEZA DKT SAMIA SULUHU HASSAN NA DKT MWIGULU NCHEMBA.

•Yasema MR CLEAN ni Waziri Bora wa fedha afrika.
•Facts hizi za kichumi zimembeba.

Shirika la fedha la kimataifa IMF limemtaja Waziri wa Fedha wa Tanzania Mhe Dkt Mwigulu Nchemba (ambaye watanzania wengi hupenda kumwita “ Mr Clean”) ni daktari bingwa wa uchumi na mtaalam halisi wa uchumi na ndio Waziri bora wa fedha aliesimamia kwa ubora wa hali ya juu misingi ya kichumi kuliko mawaziri wote wa fedha kwa nchi za Africa.

Hayo yamesemwa na IMF kufuatia report yao inayoitaja Tanzania kuwa ni mwiongoni mwa Nchi chache Duniani zenye Uchumi Imara.
IMF inasema Tanzania chini ya uongozi makini wa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan inatekeleza Miradi mingi mikubwa ya kimkakati na miradi mingi ya huduma za jamii lakini deni lake ni limeendelea kuwa dogo na himilivu, na kuweka wazi kuwa nchi ya Tanzania ni miongoni mwa nchi kumi zenye madeni madogo sana duniani kote, Pili IMF imesema licha ya misukosuko ya uchumi dunia, "Mr Clean" ameweza kubakiza mfumuko wa bei asilimia 3, Pia IMF imesema licha ya matatizo ya upatikanaji wa Fedha za Kigeni ulimwenguni kote "Mr Clean" ameweza kudumisha uimara wa shilingi ya kitanzania, na kwamba Tanzania ndio nchi pekee Africa Mashariki yenye uwiano mzuri wa vitabu vyake vinayoweza kuvutia mitaji ya Fedha.

IMF IMEMPONGEZA MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN KWA UONGOZI BORA WA TANZANIA, UADILIFU NA UTEKELEZAJI BORA WA MAENDELEO. TANZANIA IMEPIGA HATUA KUBWA KULIKO NCHI ZOTE ZA EAC NDANI YA MUDA WAKE.

Source: IMF MEDIA RELEASE
Huu ni mwiba mkali kwa manyumbu ya Januari 24
 
Sawa wacha tukubali ila wambie tu hao Majambazi wa dunia kua tz maisha ni magumu na uchumi na vipato vya wanachi vimeshoka sana
 
IMF YAMPONGEZA DKT SAMIA SULUHU HASSAN NA DKT MWIGULU NCHEMBA.

•Yasema MR CLEAN ni Waziri Bora wa fedha afrika.
•Facts hizi za kichumi zimembeba.

Shirika la fedha la kimataifa IMF limemtaja Waziri wa Fedha wa Tanzania Mhe Dkt Mwigulu Nchemba (ambaye watanzania wengi hupenda kumwita “ Mr Clean”) ni daktari bingwa wa uchumi na mtaalam halisi wa uchumi na ndio Waziri bora wa fedha aliesimamia kwa ubora wa hali ya juu misingi ya kichumi kuliko mawaziri wote wa fedha kwa nchi za Africa.

Hayo yamesemwa na IMF kufuatia report yao inayoitaja Tanzania kuwa ni mwiongoni mwa Nchi chache Duniani zenye Uchumi Imara.
IMF inasema Tanzania chini ya uongozi makini wa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan inatekeleza Miradi mingi mikubwa ya kimkakati na miradi mingi ya huduma za jamii lakini deni lake ni limeendelea kuwa dogo na himilivu, na kuweka wazi kuwa nchi ya Tanzania ni miongoni mwa nchi kumi zenye madeni madogo sana duniani kote, Pili IMF imesema licha ya misukosuko ya uchumi dunia, "Mr Clean" ameweza kubakiza mfumuko wa bei asilimia 3, Pia IMF imesema licha ya matatizo ya upatikanaji wa Fedha za Kigeni ulimwenguni kote "Mr Clean" ameweza kudumisha uimara wa shilingi ya kitanzania, na kwamba Tanzania ndio nchi pekee Africa Mashariki yenye uwiano mzuri wa vitabu vyake vinayoweza kuvutia mitaji ya Fedha.

IMF IMEMPONGEZA MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN KWA UONGOZI BORA WA TANZANIA, UADILIFU NA UTEKELEZAJI BORA WA MAENDELEO. TANZANIA IMEPIGA HATUA KUBWA KULIKO NCHI ZOTE ZA EAC NDANI YA MUDA WAKE.

Source: IMF MEDIA RELEASE
Kazi iendelee
 
Ukiona mzungu anakusifia UWE MAKINI sana.mbona magufuli walikuwa hawamsifii hovyo na walikuwa wanamuona dikteta?au Kim Jong un,mbona hawamsifii?.
 
•Yasema MR CLEAN ni Waziri Bora wa fedha afrika.
•Facts hizi za kichumi zimembeba.

Shirika la fedha la kimataifa IMF limemtaja Waziri wa Fedha wa Tanzania Mhe Dkt Mwigulu Nchemba (ambaye watanzania wengi hupenda kumwita “ Mr Clean ”) ni daktari bingwa wa uchumi na mtaalam halisi wa uchumi na ndio Waziri bora wa fedha aliesimamia kwa ubora wa hali ya juu misingi ya kichumi kuliko mawaziri wote wa fedha kwa nchi za Africa.

Hayo yamesemwa na IMF kufuatia report yao inayoitaja Tanzania kuwa ni mwiongoni mwa Nchi chache Duniani zenye Uchumi Imara.
IMF inasema Tanzania chini ya uongozi makini wa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan inatekeleza Miradi mingi mikubwa ya kimkakati na miradi mingi ya huduma za jamii lakini deni lake ni limeendelea kuwa dogo na himilivu, na kuweka wazi kuwa nchi ya Tanzania ni miongoni mwa nchi kumi zenye madeni madogo sana duniani kote, Pili IMF imesema licha ya misukosuko ya uchumi dunia, "Mr Clean" ameweza kubakiza mfumuko wa bei asilimia 3, Pia IMF imesema licha ya matatizo ya upatikanaji wa Fedha za Kigeni ulimwenguni kote "Mr Clean" ameweza kudumisha uimara wa shilingi ya kitanzania, na kwamba Tanzania ndio nchi pekee Africa Mashariki yenye uwiano mzuri wa vitabu vyake vinayoweza kuvutia mitaji ya Fedha.

IMF IMEMPONGEZA MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN KWA UONGOZI BORA WA TANZANIA, UADILIFU NA UTEKELEZAJI BORA WA MAENDELEO. TANZANIA IMEPIGA HATUA KUBWA KULIKO NCHI ZOTE ZA EAC NDANI YA MUDA WAKE.

Source: IMF MEDIA RELEASE

View: https://x.com/TanzaniaInsight/status/1737011736908103877?t=vB--7FMxeM4MECr6x59NaA&s=08

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1686792647954886657?t=SAEhofIp8pnLcHPy6x4-Zw&s=19

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1650769226699886592?t=_DqRd53M-71uPxneNyJCHg&s=19

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1647159085425467392?t=jGM_PNEJMz7sDkxLGnT6jw&s=19

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1625049055746306049?t=ltrjqJCC_wp0jj5V2h33Ew&s=19

Umekosea na umeharibu uliposema wengi wanapenda kumwita Mr Clean 😅😅

Sipingi ila sijawahi kuona mahali amekuwa referred kama Mr Clean 😂 !

Tulifundishwa zamani kwamba ukiona Mabeberu wanakusifu ujue imekula kwako 🤣🤣 🙏
 
Nukuu IMF " This makes Tanzania's economy BIGGER than several small European countries" hapa wameongeza chumvi..
Nukuu "The size of Tanzania's GDP in 2023 has grown to $85.42 billion from $69.94 billion in 2021, according to the IMF" Apewe maua yake. Na bado DP World bado haijatema. Bwawa la Nyerere halijatema na...., na.......na.....

Tahadhari:
  • 2021 mpaka 2023 alikuwa huru sana kutekeleza maono yake japo ya matuta madogo madogo aliyokutana naye.
  • 2024-2025 Ni mwaka wa mtikisiko. Aidha atakomaa au atadhoofishwa kabisa.
  • 2026-2030 ( ???......) Ni ngumu kutabiri. Ila sidhani kama anaweza kufanya vizuri kama 2021-2023. Kuna mawili yanaweza kutokea: (a) Apangiwe safu na timu... na aamue kuliacha basi liende bila muelekeo(Probability 70%). (b) Akomae(liwalo na liwe) na kuendelea kupanga safu zake kama 2021-2023, ili atekeleze maono yake (probability 30%).
Ni vigumu kujua atacheza vipi, ila Mama anaitaka mema Tanzania.
 
FB_IMG_1575390806699.jpg
FB_IMG_1575390792397.jpg
 
Inatusaidia nini sisi walalahoi ambao mlo mmoja unatusumbua. Wanunua majumba ya b25 Dubai msituchoshe na takwimu zenu zisizotusaidia wkt sukari mtaani 5000/kg
 
Kwa hakika Mheshimiwa Dr Mwigulu Lameck Nchemba Anastahili pongezi sana kama waziri wetu wa Fedha kwa namna alivyo tumia vyema taalaluma yake katika kujenga uchumi ulio imara ,shirikishi na wenye kugusa maisha ya watu. Ni kiongozi ambaye Mheshimiwa Rais ana kila sababu ya kujivunia uteuzi wake na kutokujuta kwa kumteua katika nafasi hiyo nyeti kabisa.

Mwigulu kupata kwake first Class UDSM ilikuwa siyo kwa bahati mbaya bali ni kwa uwezo mkubwa wa kiakili alionao.

Hongera sana Mheshimiwa Dkt Mwigulu Lameck Nchemba wewe kweli ni Daktari wa uchumi na mwenye tiba sahihi kwa uchumi wa Tanzania na kwa hakika Umeupatia Afya njema uchumi wetu,ambapo sasa uchumi wetu unatembea kwa kuringa ,nguvu na kujiamini kwa hali ya juu sana.

Apongezwe sana pia Rais Wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kutambua na kuwa na uwezo mkubwa wa kupanga safu nzuri ya ushindi na kujuwa mchezaji gani acheze wapi na yupi acheze wapi.

Naamini Mheshimiwa Rais wetu ataendelea kumuamini Mheshimiwa waziri kuendelea kusalia katika nafasi hiyo ya Waziri wa fedha pasipo kumuhamisha. Maana ni wizara nyeti sana hiyo na moyo wa Taifa ambayo imepata mtu sahihi.

Nami pia naunga mkono kuwa Mheshimiwa ni Mr Clean maana sijawahi kusikia wala kuona akiguswa na tuhuma zozote zile za ufisadi au rushwa .
 
•Yasema MR CLEAN ni Waziri Bora wa fedha afrika.
•Facts hizi za kichumi zimembeba.

Shirika la fedha la kimataifa IMF limemtaja Waziri wa Fedha wa Tanzania Mhe Dkt Mwigulu Nchemba (ambaye watanzania wengi hupenda kumwita “ Mr Clean ”) ni daktari bingwa wa uchumi na mtaalam halisi wa uchumi na ndio Waziri bora wa fedha aliesimamia kwa ubora wa hali ya juu misingi ya kichumi kuliko mawaziri wote wa fedha kwa nchi za Africa.

Hayo yamesemwa na IMF kufuatia report yao inayoitaja Tanzania kuwa ni mwiongoni mwa Nchi chache Duniani zenye Uchumi Imara.
IMF inasema Tanzania chini ya uongozi makini wa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan inatekeleza Miradi mingi mikubwa ya kimkakati na miradi mingi ya huduma za jamii lakini deni lake ni limeendelea kuwa dogo na himilivu, na kuweka wazi kuwa nchi ya Tanzania ni miongoni mwa nchi kumi zenye madeni madogo sana duniani kote, Pili IMF imesema licha ya misukosuko ya uchumi dunia, "Mr Clean" ameweza kubakiza mfumuko wa bei asilimia 3, Pia IMF imesema licha ya matatizo ya upatikanaji wa Fedha za Kigeni ulimwenguni kote "Mr Clean" ameweza kudumisha uimara wa shilingi ya kitanzania, na kwamba Tanzania ndio nchi pekee Africa Mashariki yenye uwiano mzuri wa vitabu vyake vinayoweza kuvutia mitaji ya Fedha.

IMF IMEMPONGEZA MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN KWA UONGOZI BORA WA TANZANIA, UADILIFU NA UTEKELEZAJI BORA WA MAENDELEO. TANZANIA IMEPIGA HATUA KUBWA KULIKO NCHI ZOTE ZA EAC NDANI YA MUDA WAKE.

Source: IMF MEDIA RELEASE

View: https://x.com/TanzaniaInsight/status/1737011736908103877?t=vB--7FMxeM4MECr6x59NaA&s=08

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1686792647954886657?t=SAEhofIp8pnLcHPy6x4-Zw&s=19

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1650769226699886592?t=_DqRd53M-71uPxneNyJCHg&s=19

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1647159085425467392?t=jGM_PNEJMz7sDkxLGnT6jw&s=19

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1625049055746306049?t=ltrjqJCC_wp0jj5V2h33Ew&s=19

Wananchi wanasota uku Wazungu wanawasifu watesi wetu!🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom