Nsanzagee
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,941
- 4,128
Rais Samia, amekitaka chama chake kuweka mchujo kwa wawakilishi ili ambao wamekuwa hawafanyi vizuri kwa wananchi, wapigwe chini.
Kwenye hili nampongeza sana, hii itawafanya wabunge wetu wafanye kile wananchi wamewatuma huko bungeni.
Hata hivyo, shida yangu ni moja, kutokana na hoja hiyo hiyo, Nimewasikia viongozi wa CCM wakisema, nafasi ya urais, kutachapishwa kadi moja tu ya ugombea, ambapo hapatakuwa na mchujo kwenye nafasi hiyo ya urais ndani ya chama hicho.
Kama ndivyo, namshauri pia Mh. Rais, aruhusu mchujo hata kwenye nafasi yake, ili kuweka mambo sawa!
Na akiruhusu mchujo mpaka kwenye nafasi ya urais, hii itaenda sambamba na hiki alichokitangazia chama chake kwamba, kuwe na mchujo wa kuchuja wabunge wasiowachapa kazi ambao wamekaa kukimbizana na sitarehe zao huku wakiwatekeleza wananchi wanaowawakilisha.