Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama itapendeza Chaguzi zote zisogezwe mbele kwa muda wa miaka miwili na Rais aendelee kutawala na kumpa muda wa kuandikwa kwa Katiba Mpya ili uchaguzi uwe huru na wa haki. Mambo yote...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Mwalimu Nyerere alianzisha vita dhidi ya maadui watatu; ujinga, maradhi na umaskini. Alikuwa na maana kwamba ikiwa Tanzania itaweza kupigana na maadui hao watatu kwa mafanikio, basi nchi hii...
1 Reactions
6 Replies
673 Views
Katibu Mwenezi wa CCM, Paul Makonda amlipua Freeman Mbowe kuwa "siasa imemlipa, amejenga kasri, naenda kulala kwake" PIA, SOMA: Matamko mengine ya Makonda Makonda: 2024 na 2025 tutakupima kwa...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Watanzania wanahitaji kuona reli ya Sgr kutoka Dar mpaka Mwanza inafanya kazi hii ni kwa sababu ughali wa maisha utapungua sababu mizigo na abiria watasafiri kwa bei rahisi. Bwawa la JHNP...
0 Reactions
7 Replies
716 Views
Watanzania wenzangu sijaona hali mbaya ya umeme km wakati huu. Tuliambiwa ilikuwa tatizo la upungufu wa maji kutokana na ukame. Mvua imenyesha tangia mwezi wa 11 na mpaka sahivi inanyesha mpaka...
3 Reactions
11 Replies
743 Views
Ni ubinafsi wa CHADEMA kudai kuwa maoni yao yamekataliwa dai hili si la kweli kwasababu huwezi kusema maoni yako yamekataliwa muda mfupi baada ya kuyawasilisha mbele ya kamati ya Bunge. Kazi ya...
0 Reactions
4 Replies
417 Views
Ndugu zangu Watanzania, Katibu wa itikadi ,uenezi na mafunzo wa CCM Taifa Mwamba Mwenyewe na kijana jasiri zaidi kusini mwa jangwa la Sahara Mheshimiwa Paul Makonda ameanza leo ziara zake rasmi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
" Toka tumpate katibu mkuu mpya ndg Nchimbi, wapinzani wameanza kutetemeka na simu yangu imekuwa bize kupita maelezo. Viongozi wa ACT, Chadema, NCCR nk wakiniomba kufanya mchakato wa kupewa kadi...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Chama cha ACT Wazalendo kinafuatilia kwa karibu mwenendo wa mambo katika mjadala wa kitaifa unaoendelea kuhusu Miswada ya Sheria ya Tume ya Uchaguzi, Sheria ya Vyama vya Siasa na Sheria ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda, leo January 19,2024 ameanza ziara yake kwa kuongea na Wakazi wa Tegeta Jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine amesema Wabunge...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda, anatarajiwa kuhutubia maelfu ya wananchi katika Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani, katika siku yake ya kwanza ya ziara ya siku 30 kwenye...
2 Reactions
2 Replies
805 Views
Mimi ni wale watu ambao hawajihusishi wala kujishughulisha na kitu kinaitwa SIASA. Ni mwezi sasa hapa nilipo kumekuwa na mgao mkali sana wa Umeme. Yaani ndani ya siku 30 naweza kuwa nimepata umeme...
2 Reactions
0 Replies
320 Views
Katiba ya Warioba ishakulinda wewe, ishakutoa kwenye lawama, kwamba wewe hulaumiwi na CCM sababu hii ni katiba waliyoitaka watanzania. Lakini, kwanini huwatakii mema wafaidika wa mwanzo wa Katiba...
0 Reactions
0 Replies
638 Views
Kwenye biashara kuna kitu kinachoitwa "demand and supply principle" Unapoona mahitaji ni makubwa kuliko uwezo wako wa kuhudumia, kinachotokea baada ya hapo ni upungufu mkubwa wa huduma hiyo...
0 Reactions
2 Replies
707 Views
Muungano wa Nchi 120 zisizofungamana na Upande wowote zinakutana nchini Uganda na tayari zimeagiza Vita ya Israel na Hamas Isitishwe Aidha mkutano huo utazungumzia Vita ya Russia na Ukraine pia...
1 Reactions
15 Replies
778 Views
Ni ukweli mchungu najua wafia chama watapingana na huu ukweli lakini hii ndio fact yenyewe kabisa! Chadema kwa sasa imebaki ndani ya mioyo ya wanufaika wa ruzuku tu! Ndio unawaona wanatoa povu la...
5 Reactions
72 Replies
3K Views
Nikitafakari namna ACT Wazalendo wanavyofanya siasa na malengo waliyonayo kisiasa kwa siku za mbeleni naona wanakosa mikakati sahihi. Sometimes kuna kukaa kimya kwenye baadhi ya mambo na...
10 Reactions
58 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Siku chache baada ya Mheshimiwa Luhaga Mpina kuzungumza hadharani na kulaumu au kutoa shutuma zinazoonyesha matumizi mabaya ya fedha za umma kwa kununua vifaa vya kuongeza...
4 Reactions
82 Replies
6K Views
CHADEMA watakapokuwa wanatueleza yaliyomo kwenye Maridhiano wasisahau kutueleza na Bajeti ya Vikao ilikuwa bei gani na kama Wajumbe wao walilipwa Posho. Bado hatujasahau UKAWA walivyokuwa Posho...
2 Reactions
4 Replies
399 Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amekosoa hatua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutaka kufanya maandamano kupinga miswada ya sheria za uchaguzi na...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…