Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 877
- 4,102
Nikitafakari namna ACT Wazalendo wanavyofanya siasa na malengo waliyonayo kisiasa kwa siku za mbeleni naona wanakosa mikakati sahihi.
Sometimes kuna kukaa kimya kwenye baadhi ya mambo na ukafanikiwa kufikisha ujumbe na kuna kuamua kutoka adharani. ACT siyo chama cha kutoka adharani kikiongozwa na vyama ambavyo havina wanachama. Inapotajwa kwenye hoja kama hizi kwamba inaungana na CCM wanachama wake wanajiuliza hiki chama kiliundwa cha kazi gani kama hakionI changamoto za utendaji wa chama tawala
Tafsiri ya hiki kilichofanywa na ACT ni kwamba CHADEMA wapo peke yao kwenye hoja ya katiba, chadema wapo peke yao kulalamikia ugumu wa maisha. Kwa maana nyingi ni chama kimoja tu kinachokuja na hoja kinzani dhidi ya CCM. Vyama vilivyobaki vinaungana 100% na kila jambo la CCM.
Na hii unaiona hadi kwenye uchaguzi wa ACT unaoendelea. Viongozi wote wanaopitishwa mikoani ni wanachama wa CCM na hakuna kumbukumbu kwamba waliwahi kurejesha kadi za ccm