Makonda: Siasa imemlipa Mbowe kajenga kasri

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,226
5,949
 

Attachments

  • 1705669562877.png
    1705669562877.png
    16.9 KB · Views: 8
Mbowe uchumi kwao upo kitambo sana, yeye kujenga Kasri ni jambo la kawaida.

HIZI NI SIASA ZA KUCHAFUANA TU.

KaziKwelikweli/JobTrueTrue
Sio kweli kwa nini hakujenga hiyo kasri kabla ya kujiunga na siasa?
 
Mbowe siyo mgeni na utajiri

Yeye mwenyewe siasa uongozi umemlipa

Ana Mali kadhaa na zote hizo hazijatokana

Na mshahara

Ova
 
Mbowe ni Kijana wa Mwalimu Nyerere 😂
Sahihi mtoto wa nje wa Nyerere angalia hata sura Nyerere mtupu kuanzia uso

Sura uso pia wanafanana sana na Makongoro Nyerere hata midomo ilivyochongoka na kuongea Makongoro Nyerere mtupu

Watoto wa nje wa Nyerere waliobeba sura yake ni Mbowe na Lowasa
 
Back
Top Bottom