Nchi zisizofungamana na Upande wowote ikiwemo Tanzania wataka Vita ya Israel na Hamas Isitishwe haraka

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,025
Muungano wa Nchi 120 zisizofungamana na Upande wowote zinakutana nchini Uganda na tayari zimeagiza Vita ya Israel na Hamas Isitishwe

Aidha mkutano huo utazungumzia Vita ya Russia na Ukraine pia migogoro ya Sudan, Somalia nk

Umoja huo unaundwa na Nchi Kutoka Africa, Latin America na Asia

Tanzania imewakilishwa na Waziri mkuu mh Majaliwa kwa niaba ya Rais Samia

Source Al jazeera news
 
Masikini hata akiwa na hoja nzuri mbele ya tajiri hupuuzwa tu

Hizi nchi zitapuuzwa tu, ni bora wakae kimya
 
Sasa vita isitishwe wakati Hamas Bado hawajaisha? Israel kashasema atahakikisha shambulio la aina hiyo halijirudii. Kwa hiyo nashauli apewe mda aendelee kufanya atakavyo angalau mpaka mwisho wa mwaka huu au 2025.
 
Wanataka iache vita ili magaidi wa Makamasi waendelee kurusha makombora Israel kuteka na kuchinja wayahudi kama dini yao inavyowaelekeza kuua na kuchukia wayahudi!! Nchi zisizofungamana na upande wowote zinatakiwa zisiwe upande wa waarabu wenye siasa kali.
 
Wasiombewe msamaha/huruma.Waombe wenyewe na kuahidi kutorudia tena.
A child can play with his mother's breast but not with his father's penis.
Hamas...soma hiyo!
 
Muungano wa Nchi 120 zisizofungamana na Upande wowote zinakutana nchini Uganda na tayari zimeagiza Vita ya Israel na Hamas Isitishwe

Aidha mkutano huo utazungumzia Vita ya Russia na Ukraine pia migogoro ya Sudan, Somalia nk

Umoja huo unaundwa na Nchi Kutoka Africa, Latin America na Asia

Tanzania imewakilishwa na Waziri mkuu mh Majaliwa kwa niaba ya Rais Samia

Source Al jazeera news
Bubu Ataka Kusema
 
Yani hawa Hamas wauawe, wakipigwa unasikia play for Palestina.
Halafu wakikamata mtu wanachinja mapuuzi kabisa.
 
Muungano wa Nchi 120 zisizofungamana na Upande wowote zinakutana nchini Uganda na tayari zimeagiza Vita ya Israel na Hamas Isitishwe

Aidha mkutano huo utazungumzia Vita ya Russia na Ukraine pia migogoro ya Sudan, Somalia nk

Umoja huo unaundwa na Nchi Kutoka Africa, Latin America na Asia

Tanzania imewakilishwa na Waziri mkuu mh Majaliwa kwa niaba ya Rais Samia

Source Al jazeera news
Wakati eneo la parestina linamegwa Kila siku,hizo nchi zilikaa?.

Waouth simameni hapo hapo.
20230316_002327.jpg
 
Muungano wa Nchi 120 zisizofungamana na Upande wowote zinakutana nchini Uganda na tayari zimeagiza Vita ya Israel na Hamas Isitishwe

Aidha mkutano huo utazungumzia Vita ya Russia na Ukraine pia migogoro ya Sudan, Somalia nk

Umoja huo unaundwa na Nchi Kutoka Africa, Latin America na Asia

Tanzania imewakilishwa na Waziri mkuu mh Majaliwa kwa niaba ya Rais Samia

Source Al jazeera news
Mbona wameona Israel na Palestine hawaoni vita vya Sudan,kongo,urusi kuivamia Ukraine?
 
Back
Top Bottom