Makonda: Sababu ya Nchimbi, viongozi CHADEMA wanataka kadi za CCM

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,484
20,436
1705657530633.jpg
"
Toka tumpate katibu mkuu mpya ndg Nchimbi, wapinzani wameanza kutetemeka na simu yangu imekuwa bize kupita maelezo. Viongozi wa ACT, Chadema, NCCR nk wakiniomba kufanya mchakato wa kupewa kadi za uanachama.

Wengi ni makatibu, wenyeviti na makamu wenyevoti wamekuwa wakinisisitiza." Makonda ameyasema hayo leo alipokuwa akiongea na EATV.
 
View attachment 2876452"
Toka tumpate katibu mkuu mpya ndg Nchimbi, wapinzani wameanza kutetemeka na simu yangu imekuwa bize kupita maelezo. Viongozi wa ACT, Chadema, NCCR nk wakiniomba kufanya mchakato wa kupewa kadi za Huyo uanachama.

Wengi ni makatibu,wenyeviti na makamu wenyevoti wamekuwa wakinisisitiza." Makonda ameyasema hayo leo alipokuwa akiongea na EATV.
Huyo huyo Makonda, si ndiye aliyenukuliwa akisena hapa nchini hakuna chama Cha upinzani kinacho-exist!

Sasa hao Wenyeviti na Makatibu wanaotaka kujiunga na CCM, watakuwa wanatoka kwenye vyama vipi?

This is totally the biggest contradiction of the year 2024!
 
Anabwekabweka kiaina.Kijijini kwetu wanasema anawaganisa.Muongomuongo balaa!
 
View attachment 2876452"
Toka tumpate katibu mkuu mpya ndg Nchimbi, wapinzani wameanza kutetemeka na simu yangu imekuwa bize kupita maelezo. Viongozi wa ACT, Chadema, NCCR nk wakiniomba kufanya mchakato wa kupewa kadi za uanachama.

Wengi ni makatibu, wenyeviti na makamu wenyevoti wamekuwa wakinisisitiza." Makonda ameyasema hayo leo alipokuwa akiongea na EATV.
Ahaaa kumbe Chongolo alikuwa sanamu sasa kaja mtu wapinzani wanatetemeka, siyo. Kipindi Samia anamteua Chongolo, Nchimbi hakuwepo? Huyo ndiye Makonda bhana mbali na kiki yeye ajuwagi wapi na wakati gani aongee nini.
 
Hahahahaaaa..........😁😂
huyu anapaswa akumbushwe tu kwamba serikali ya dictator uchwara aliyokuwa akiitumikia ilishawahi wahi wanunua kina waitara WAITARA na wengine na yeye akaonekana akinuuliwa juu juu na kushikwa makalio na mapolisi huku akiwa na chupa ya ulevi pale central kama james delicious. lakini chedema hakijafa, chama ni imaani, cyo majengo wala manguo ya kijani hayo. ndo mana nyerere hajawahi kuvaa
 
View attachment 2876452"
Toka tumpate katibu mkuu mpya ndg Nchimbi, wapinzani wameanza kutetemeka na simu yangu imekuwa bize kupita maelezo. Viongozi wa ACT, Chadema, NCCR nk wakiniomba kufanya mchakato wa kupewa kadi za uanachama.

Wengi ni makatibu, wenyeviti na makamu wenyevoti wamekuwa wakinisisitiza." Makonda ameyasema hayo leo alipokuwa akiongea na EATV.
Awadanganye wapumbavu wenzake. Huyo pimbi Nchimbi ana maajabu gani hadi watu wamfuate? Makonda anaanza kumshobokea Nchimbi kwani na yeye ni mzee wa fitna hata kesho tu akitaka kumuanzishia Makonda anang'olewa hapo.
 
Back
Top Bottom