Rais Samia hana kigeugeu ni ubinafsi wa Chadema. 4R’s ni msimamo wake.

mapessa

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
612
1,045
Ni ubinafsi wa CHADEMA kudai kuwa maoni yao yamekataliwa dai hili si la kweli kwasababu huwezi kusema maoni yako yamekataliwa muda mfupi baada ya kuyawasilisha mbele ya kamati ya Bunge. Kazi ya kamati ilikuwa ni kupokea maoni na imetekeleza wajibu wake.

Viongozi wa CHADEMA wanajua upo utaratibu wa kutunga sheria na Viongozi wao waliwahi kuwa Wabunge na wanajua ni utaratibu gani wa kufuata wakati wa mchakato wa mabadiliko ya sheria. Kamati ya sheria ilipokea maoni kutoka kwa makundi mbalimbali bila ubaguzi kwa takribani wiki mbili watu wametoa maoni.

Huu ni uongo wa wazi kusema maoni ya Wananchi yametupiliwa mbali na Serikali imepuuza maoni ya wananchi. Taratibu ni kuwa kamati ya Bunge inapokea maoni yote kisha yatapelekwa kwenye Bunge zima. Huko ndiyo utajua Bunge limekataa maoni au laa.? Tusubiri Bunge likajadili.

Kipindi hiki bado Bunge halijakaa kikao hata kimoja na Bunge halijaanza, sasa CHADEMA wanaitishaje maandamano kwa kuhadaa Umma kuwa maoni yamekataliwa? Nani ameyakataa maoni ya CHADEMA? Ni Uongo.

Wanachofanya CHADEMA ni siasa. ukifanya siasa lazima ujibiwe kisiasa. Uongo unaotungwa na CHADEMA una nia ya kuharibu dhana ya kupata sheria bora ya uchaguzi ambayo ingesaidia Taifa kwa siku za baadaye.

Ni hulka ya Mwenyekiti wa CHADEMA kila uchaguzi unapokaribia wa ndani ya chama huleta taharuki anajua nafasi yake kuna Vijana wanaitaka Heche na Tundu Lissu kuwapunguza nguvu lazima aonyeshe bado yupo kwenye harakati.
 
Kipindi hiki bado Bunge halijakaa kikao hata kimoja na Bunge halijaanza, sasa CHADEMA wanaitishaje maandamano kwa kuhadaa Umma kuwa maoni yamekataliwa? Nani ameyakataa maoni ya CHADEMA…? Ni Uongo.

Naona umeamua kuharisha ukweni.
 
Tatizo watu hata hamuelewi tatizo !! Tatizo ni kwamba chochote ambacho kiitakuwepo kwenye mswada hakitaweza kufanya kazi mpaka kuwe na mabadiliko madogo ya katiba ambayo ni mapendekezo ambayo yamepuuzwa na Serikali. Pili Mswala hauhusishi serikali za mitaa na chaguzi zake hivyo huwezi kupendekeza mambo kwenye mswada ambao serikali za mitaa hazipo kabisa. Hivyo unavyosema mapendekezo yao ina maana huelewi issue vizuri. Mambo wanayo lalamikia hayapo kwenye mswada ya hata kama mawazo yote yakachukuliwa bila mabadiliko ya makitiba madogo ni kazi bure. Serikali za mitaa hazipo kabisa kwenye mswada sasa unasema wasubiri wasubiri nini?

Kama wewe unaona sawa kalisha matako nyumbani acha watu wakaangaikie nchi hii na wajukuu zetu
 
Kachukue Buku 7 Lumumba

Ni ubinafsi wa CHADEMA kudai kuwa maoni yao yamekataliwa dai hili si la kweli kwasababu huwezi kusema maoni yako yamekataliwa muda mfupi baada ya kuyawasilisha mbele ya kamati ya Bunge. Kazi ya kamati ilikuwa ni kupokea maoni na imetekeleza wajibu wake.

Viongozi wa CHADEMA wanajua upo utaratibu wa kutunga sheria na Viongozi wao waliwahi kuwa Wabunge na wanajua ni utaratibu gani wa kufuata wakati wa mchakato wa mabadiliko ya sheria. Kamati ya sheria ilipokea maoni kutoka kwa makundi mbalimbali bila ubaguzi kwa takribani wiki mbili watu wametoa maoni.

Huu ni uongo wa wazi kusema maoni ya Wananchi yametupiliwa mbali na Serikali imepuuza maoni ya wananchi. Taratibu ni kuwa kamati ya Bunge inapokea maoni yote kisha yatapelekwa kwenye Bunge zima. Huko ndiyo utajua Bunge limekataa maoni au laa.? Tusubiri Bunge likajadili.

Kipindi hiki bado Bunge halijakaa kikao hata kimoja na Bunge halijaanza, sasa CHADEMA wanaitishaje maandamano kwa kuhadaa Umma kuwa maoni yamekataliwa? Nani ameyakataa maoni ya CHADEMA? Ni Uongo.

Wanachofanya CHADEMA ni siasa. ukifanya siasa lazima ujibiwe kisiasa. Uongo unaotungwa na CHADEMA una nia ya kuharibu dhana ya kupata sheria bora ya uchaguzi ambayo ingesaidia Taifa kwa siku za baadaye.

Ni hulka ya Mwenyekiti wa CHADEMA kila uchaguzi unapokaribia wa ndani ya chama huleta taharuki anajua nafasi yake kuna Vijana wanaitaka Heche na Tundu Lissu kuwapunguza nguvu lazima aonyeshe bado yupo kwenye harakati.
Kachukue Buku 7 Lumumba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom