Nimeshangaa dereva wa Malori ya Makolo Enterprise anataka kuandamana na Chadema kisa analipwa tsh 240,000 mshahara kwa mwezi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Kumbe waungaji mkono wa maandamano Wana ajenda mbalimbali siyo ile miswada ya sheria za uchaguzi pekee

Jana bwanamdogo mmoja amenihakikishia piga ua 24 January Lazima aandamane kupinga kulipwa mshahara mdogo kwenye kampuni ya Makolo Enterprise

Kwa kweli Nimeshangaa na kuelewa kwanini Haya maandamano yamezuiwa kiintelejensia

Nawatakia Dominica njema!
 
Back
Top Bottom