Paul Makonda: Lissu mjanja ameona maandamano hayana maana

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,816
4,566
1705706750385.png

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amebainisha kuwa Tundu Lissu ni mjanja ndio maana ameamua kuwakimbia CHADEMA baada ya kuona hakuna haja ya kufanya maandamano yasiyo na tija wala maana yoyote na kuamua kwenda zake Nchini Ivorycoast kuangalia mpira katika mashindano ya AFCON.

Mwenezi Makonda ameyasema hayo leo tarehe 19 Januari, 2024 kwenye Mkutano wa hadhara akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Kawe Jijini Dar es salaam.

Akizungumza na Wananchi hao, Mwenezi Makonda amewataka Watanzania kuwauliza CHADEMA kwanini wanamkimbia kwenye kuitisha mdahalo na badala yake wanaleta masharti na sababu ambazo haziingiliani kwenye mdahalo juu ya kile wanachotaka kukifanya cha kuandamana.

Makonda amesema kuwa CHADEMA wamekuwa wakifanya vikao ambavyo hawatoi mrejesho kwa wanachama wao wala wananchi na tafsiri yake hata maoni yao wanayosema wametoa kwa wananchi si ya wananchi bali ni yao wenyewe Mbowe, Lissu na Mnyika.

Pia, Mwenezi Makonda amewataka tena Mbowe, Lissu na Mnyika kufanya mdahalo wa kuzungumza ilikusudi wananchi kuelewa na kuchagua upande wao kuandaman au kutoandama na kukemea tabia ya Chadema kuwabuluza Wananchi kwa ajenda zao binafsi.

PIA, SOMA:

Uteuzi wa Uenezi wa CCM
Kauli nyingine za Paul Makonda
 
Mtu kapata div 0, mnapataje muda wa kuandika upuuzi wake? Huyu Samia anamtumia kwa sababu he can kill mercilessly!

He has and still killing many, to Samia is a right candidate because he can kill not because he can make service to people or her party, apart from killings!t She is consolidating power using killers,
 
Siasa ni UNAFIKI TU
 
Mtu kapata div 0, mnapataje muda wa kuandika upuuzi wake? Huyu Samia anamtumia kwa sababu he can kill mercilessly!

He has and still killed many, to samia is a right candidate because he can kill not because he can make service to people or her party apart from killings!t She is consolidating power using killers,
Na wewe huo muda wakuja kupotosha hapa umeupata wapi? Ebo, Wewe umepata Divisheni gani?
 
Alishajibu swali la

Ni wapi alikuwa wakati Lissu anapigwa risasi Dodoma?
Maana hakua ameonekana kwenye mkutano wa Magu Dar kupokea ripoti ya makenikia.
Aliyeuwa kwa upanga, naye pia atauawa kwa upanga. Siku za mwanadamu hapa duniani ni chache, na tena zinahesabika.

Pamoja na kujibaraguza kwa kulitaja jina la Lissu, lakini moyo wake unampasuka kwa kumuona yu hai hadi hivi leo. Waliokuwa nyuma ya mamlaka ili kutekeleza tukio lile wako wapi hivi sasa!?

Ni mmoja baada ya mwingine, wote watakwenda na maji. "With cascading effect from top to the lowest authority". Hakuna jiwe hata moja ambalo litabakia bila ya kugeuzwa.
 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amebainisha kuwa Tundu Lissu ni mjanja ndio maana ameamua kuwakimbia CHADEMA baada ya kuona hakuna haja ya kufanya maandamano yasiyo na tija wala maana yoyote na kuamua kwenda zake Nchini Ivorycoast kuangalia mpira katika mashindano ya AFCON.

Mwenezi Makonda ameyasema hayo leo tarehe 19 Januari, 2024 kwenye Mkutano wa hadhara akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Kawe Jijini Dar es salaam.

Akizungumza na Wananchi hao, Mwenezi Makonda amewataka Watanzania kuwauliza CHADEMA kwanini wanamkimbia kwenye kuitisha mdahalo na badala yake wanaleta masharti na sababu ambazo haziingiliani kwenye mdahalo juu ya kile wanachotaka kukifanya cha kuandamana.

Makonda amesema kuwa CHADEMA wamekuwa wakifanya vikao ambavyo hawatoi mrejesho kwa wanachama wao wala wananchi na tafsiri yake hata maoni yao wanayosema wametoa kwa wananchi si ya wananchi bali ni yao wenyewe Mbowe, Lissu na Mnyika.

Pia, Mwenezi Makonda amewataka tena Mbowe, Lissu na Mnyika kufanya mdahalo wa kuzungumza ilikusudi wananchi kuelewa na kuchagua upande wao kuandaman au kutoandama na kukemea tabia ya Chadema kuwabuluza Wananchi kwa ajenda zao binafsi.
Lichama Lina miaka 70 (1954-2024 )Bado linaogopa maandamano ambayo yapo kikatiba pumbafu kabisa
 
Mtu kapata div 0, mnapataje muda wa kuandika upuuzi wake? Huyu Samia anamtumia kwa sababu he can kill mercilessly!

He has and still killing many, to Samia is a right candidate because he can kill not because he can make service to people or her party, apart from killings!t She is consolidating power using killers,
Mkuu div 0 sio hoja hata Mbowe aliipata hiyo kwa hiyo asisikilizwe?
 
Huyu ni mwovu.

Anatumia jina lisilo lake kwa vile kwenye mtihani wa kidato cha 4 alipata division zero. Badala ya kupambana aweze kuisafisha zero yake kwa njia halali ili afike alikotamani kufika, akaamua kuiba jina mtu. Huyu ni mwovu.

Huyu ndiye aliyesimamia shambulio dhidi ya Lisu akiwa Dodoma hotel, wakati Rais akihutubia mkoani Dodoma, ambako yeye alikuwa RC, lakini akaona kazi ya kusimamia mauaji ya Lisu ni muhimu kuliko mkutano wa Rais.

Huyu ndiye anayetajwa kusimamia mauaji ya Ben Sanane na Azory Gwanda.

Huyu, kwa kutumia nafasi yake kama RC aliweza kupora nyumba ya GSM akidai kwamba ni Rais aalikuwa ameomba ajengewe nyumba.

Huyu alikuwa akiwatoza matajiri wanaotaka kumwona Rais, kati ya shilingi milioni 100 mpaka 400 ili awafanyie appointments.

Jitu la namna hiyo utakaaje nalo kwenye mdahalo? Si itakuwa ni kulisafisha, lionekane ni mtu halisi ambaye unaweza kubishana kwa hoja? Huyu hana haki wala stahili ya kuwa mahali walipo watu wema.
 
Mkuu div 0 sio hoja hata Mbowe aliipata hiyo kwa hiyo asisikilizwe?
Ni hoja sana tena sana! Mbowe huwezi kumlinganisha na Makonda. Kama wewe ni msomi, umepitia shule kidogo utakuwa unajua historia ya Albert Einstein, kuwa alikataliwa admission kwenye University... later to become one of the best professors of the same university that rejected him, likewise Mbowe! He is a graduate of one of the best universities in the UK! NOT MAKONDA
 
Back
Top Bottom