DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,879
Hivi wana nia ya dhati? Au ndio wanazuga watu,maana ukiingia katika kiunganishi(link) walichotoa hakifikiki,na ukiingia kupitia simu via *152*00# unatakiwa uwe faster kama unataka kuweka mkeka nafikiri wanatumia janjajanja ya kanjibai zamani ili tushindwe kufikia malengo, maana wanatoa dakika 1 tu kisha wanakutoa.
Note: Serikali kama mna nia ya kweli kuchukua maoni ya wananchi basi wekeni njia bora zitakazokuwa rafiki na huru kwa wananchi wengi kuweza kutoa maoni yao.
Note: Serikali kama mna nia ya kweli kuchukua maoni ya wananchi basi wekeni njia bora zitakazokuwa rafiki na huru kwa wananchi wengi kuweza kutoa maoni yao.