Ukitaka kufahamu akili kubwa angalia namna Nchimbi alivyong'ang'ania kupiga picha na Bagonza......ukisimamia haki lazima watakutafuta popote ulipo

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
879
4,125
Picha ya Dr. Nchimbi na Askofu Bagonza imepata headlines nyingi sana kwenye pages za CCM kuliko maeneo mengine yoyote.

Kumbuka leo walikuwepo Maaskofu wote wa KKKT pale Azania Front. Ila Nchimbi alihakikisha amezungumza na Bagonza na picha imewekwa kwa kumbukumbu. Bagonza always amesimamia ukweli na hivyo wasiopenda ukweli wanatamani awe upande wao na wapenda haki wanatamani aongeze kasi ya kalamu kuandika ukweli.

Watu kama Bagonza wanapewa heshima kubwa sana gizani kuliko fitina za kwenye mwanga. Mioyoni mwetu tunatamani tuendelee kama Bagonza ila kimwili tunapingana na nafsi zetu.

Bagonza amekuwa mkosoaji mkubwa wa CCM na sera zake. Hakuna siku tumewahi kuona CCM wakitamani kumweka mezani kwao. Siyo kwa sababu ni mbaya ila kwasababu anasema ukweli mchungu

Ninashauri Mdogo wangu Dr. Bagonza aendelee kuwatibu akili zifike mahali ziwarudi waache njia mbaya warejee kwenye haki.

Anapoona wanamkumbatia achukue taadhari lakini pia amshukuru Mungu kwamba KUMBE WANAMUELEWA KIMOYO ❤️
 
Picha ya Dr. Nchimbi na Askofu Bagonza imepata headlines nyingi sana kwenye pages za CCM kuliko maeneo mengine yoyote.

Kumbuka leo walikuwepo Maaskofu wote wa KKKT pale Azania Front. Ila Nchimbi alihakikisha amezungumza na Bagonza na picha imewekwa kwa kumbukumbu. Bagonza always amesimamia ukweli na hivyo wasiopenda ukweli wanatamani awe upande wao na wapenda haki wanatamani aongeze kasi ya kalamu kuandika ukweli.

Watu kama Bagonza wanapewa heshima kubwa sana gizani kuliko fitina za kwenye mwanga. Mioyoni mwetu tunatamani tuendelee kama Bagonza ila kimwili tunapingana na nafsi zetu.

Bagonza amekuwa mkosoaji mkubwa wa CCM na sera zake. Hakuna siku tumewahi kuona CCM wakitamani kumweka mezani kwao. Siyo kwa sababu ni mbaya ila kwasababu anasema ukweli mchungu

Ninashauri Mdogo wangu Dr. Bagonza aendelee kuwatibu akili zifike mahali ziwarudi waache njia mbaya warejee kwenye haki.

Anapoona wanamkumbatia achukue taadhari lakini pia amshukuru Mungu kwamba KUMBE WANAMUELEWA KIMOYO

KKKT imakinike sana na serikali ya CCM ya sasa hivi

Ninashauri Mdogo wangu Dr. Bagonza aendelee kuwatibu akili zifike mahali ziwarudi waache njia mbaya warejee kwenye haki.

Anapoona wanamkumbatia achukue taadhari lakini pia amshukuru Mungu kwamba KUMBE WANAMUELEWA KIMOYO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom