Ndalichako abanwa kujitengea bilioni 8 kwa ajili ya kukarabati ofisi

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,968
Waziri wa elimu Joyce Ndalichako amebanwa kuhusu kujitengea bilioni 8 kwa ajili ya kujikarabatia tu ofisi yake huku kukiwa na upungufu mkubwa wa miundombinu ya kufundishia na fedha ya kufidia elimu bure zikiwa hazitoshi
Mbunge huyo amedai bilioni 8 zikigawanywa kwa madarasa ni madarasa mengi yatajengwa

 
Duuh. Tanzania haiishiwi vituko... Nafikiri muda cmrefu watalii watamiminika wengi sana kuja kuangalia wanaoishi kwenye hili Taifa wanafanaje..

But I guess this is joke, it can't be true

Pamoja na matatizo tuliyonayo Tanzania tuko vizuri mno...watalii hawawezi kuja kuangalia tunavyoishi sisi...hujawahi kusikia namna watalii wanavyomiminika kwenda Buckingham palace uingereza kuangalia makazi ya malkia na kuwaangalia wajukuu wa malkia wanavyocheza cheza? Sisi tuko vizuri, wazungu mambo yao ni ya ajabu mno...ni wanafiki...
 
Back
Top Bottom