Askofu Malasusa: Vijana wa Siku hizi hawataki Kuongozwa Wanataka wawe Huru lakini wamesahau Hakuna Uhuru Usio na Mipaka!

Askofu Malasusa amesema Vijana wa Siku hizi hawataki Kuongozwa Wanataka wawe Huru lakini wamesahau Hakuna Uhuru Usio na Mipaka

Uhuru Bila Mipaka haukubaliki ni vurugu tupu Sisi tuliotembea Sehemu zisizo na Amani barani Africa tunaelewa, amesisitiza Dr Malasusa

Source Channel ten tv
Wanadai kuwa Wazazi hawakusoma ilihali Me Wasomi wenyewe hata wakinyimwa unyumba tu na Ke wa ndoa au Pisi Kali kimahusiano hukimbilia JF kuomba ushauri, usomi umewasaidia nini hata washindwe kuwa na hekima kimaamuzi kwa Ke waliyeambiwa waishi nao kwa akili?

Ubinadamu kazi/Humanity is work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom