Mbinu ya kuzima maandamano ya 24/1/2024 yafichuka

Desprospero

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
887
2,201
Chadema iwe makini. Uwezekano wa viongozi wao kukamatwa asubuhi majumbani mwao wasitoke ni mkubwa.

Vyombo vya habari kuzuiwa kuchukua picha wakizuiwa (kifungo cha nyumbani kwa masaa) ni mkubwa.

Polisi kuwahi Mbezi na Buguruni mapema na kupiga virungu kila atakayefika hapo hususan vijana.

Magari yenye maji ya pilipili tayari yanaandaliwa na maji ya kuwasha. Wajuzi wanasema tembea na maji mwandamaji, mafuta ya vaselini huzuia maji kuwasha. Lakini KUBWA kuliko ni wingi wenu ndio nguvu yenu. Uchache wenu ndio ushindi wao!

Kisingizio cha ugonjwa wa macho kuwepo nao unaweza kutumika kama kisingizio cha kupiga marufuku kusanyiko. Wapuuzwe. Kusanyiko si lazima kugusana.

Hongera kwa viongozi wa dini waliokubali kushiriki maandamano haya matukufu. Kinachodaiwa kina maslahi ya Watanzania wote wakiwemo CCM na Polisi wao pia.
#24/1/24_4victory
 
Hawa ndugu zetu Mh. Rais angevaa ujasirii akawaacha tu waandamane jioni warudi makwao kupumzika. Kuwazuia kutatumia nguvu kuliko kuwaacha na kuendelea na process zilizo mbele baada ya maandamano. Kwa nguvu ya maandalizi nayoisoma,huu ni mtego kwa awamu hii na zile 4R alizoasisi mkuu wa nchi. Siku moja inayoweza haribu legacy kabisa.
 
Chadema iwe makini. Uwezekano wa kukamatwa asubuhi majumbani mwao wasitoke ni mkubwa.

Vyombo vya habari kuzuiwa kuchukua picha wakizuiwa (kifungo cha nyumbani kwa masaa) ni mkubwa.

Polisi kuwahi Mbezi na Buguruni mapema na kupiga virungu kila atakayefika hapo hususan vijana.

Magari yenye maji ya pilipili tayari yanaandaliwa na maji ya kuwasha. Wajuzi wanasema tembea na maji mwandamaji, mafuta ya vaselini huzuia maji kuwasha. Lakini KUBWA kuliko ni wingi wenu ndio nguvu yenu. Uchache wenu ndio ushindi wao!

Hongera kwa viongozi wa dini waliokubali kushiriki maandamano haya matukufu. Kinachodaiwa kina maslahi ya Watanzania wote wakiwemo CCM na Polisi wao pia.
#24/1/24_4victory
Maandamano ya chadema ni taka taka Kwa sasa!

Walifanya compromise ya kutodai katiba kwa maridhiano ya mchongo!!

Leo wamegeukwa na walambishaji asali ndio wanakumbuka nguvu ya wananchi kwaajili ya faida yao!!

Maandamano ya chadema ni Batili hayafai na nitashangaa watakaoandanamana Kwa kwasasbab zao hizo walizoainisha za mchongo!!

1.ugumu was maisha

Tangy lini maisha ya watZ yakawa marahisi!!?wakati wanafanya maridhiano maisha ya watz yalikuaje!!?

2.miswada Bungeni

Kwani ccm tangy lini tumwpeleka miswada Bungeni ku favor upinzani washinde chaguzi!!?

Wangeandamana kuhusu takwa la Dola na katiba mpya angalau hata wanaccm wenye akili kama Mimi ningewaunga mkono!!

Madhara ya uchaguzi was 2020 Kwa katiba hii ni dhahiri wanadanganywaje nusu mkate Kwa katiba hii kuingia kwenye chaguzi!!?

Wananchi wasiandamane sababu sababu za chadema ni za kijinga sana hazina mashiko!

Dai katiba mpya Rais apunguziwe madaraka na asiwe mwenyekiti was chama Bali mtumishi was umma kama wengine!!
 
Hawa ndugu zetu Mh. Rais angevaa ujasirii akawaacha tu waandamane jioni warudi makwao kupumzika. Kuwazuia kutatumia nguvu kuliko kuwaacha na kuendelea na process zilizo mbele baada ya maandamano. Kwa nguvu ya maandalizi nayoisoma,huu ni mtego kwa awamu hii na zile 4R alizoasisi mkuu wa nchi. Siku moja inayoweza haribu legacy kabisa.
tatizo sio kuandamana
woga wa kupora vitu vya wetu

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Uli
Maandamano ya chadema ni taka taka Kwa sasa!

Walifanya compromise ya kutodai katiba kwa maridhiano ya mchongo!!

Leo wamegeukwa na walambishaji asali ndio wanakumbuka nguvu ya wananchi kwaajili ya faida yao!!

Maandamano ya chadema ni Batili hayafai na nitashangaa watakaoandanamana Kwa kwasasbab zao hizo walizoainisha za mchongo!!

1.ugumu was maisha

Tangy lini maisha ya watZ yakawa marahisi!!?wakati wanafanya maridhiano maisha ya watz yalikuaje!!?

2.miswada Bungeni

Kwani ccm tangy lini tumwpeleka miswada Bungeni ku favor upinzani washinde chaguzi!!?

Wangeandamana kuhusu takwa la Dola na katiba mpya angalau hata wanaccm wenye akili kama Mimi ningewaunga mkono!!

Madhara ya uchaguzi was 2020 Kwa katiba hii ni dhahiri wanadanganywaje nusu mkate Kwa katiba hii kuingia kwenye chaguzi!!?

Wananchi wasiandamane sababu sababu za chadema ni za kijinga sana hazina mashiko!

Dai katiba mpya Rais apunguziwe madaraka na asiwe mwenyekiti was chama Bali mtumishi was umma kama wengine!!
Yoyaeleza yote ni sehemu ya madai ya maandamano hayo.
 
Hawa ndugu zetu Mh. Rais angevaa ujasirii akawaacha tu waandamane jioni warudi makwao kupumzika. Kuwazuia kutatumia nguvu kuliko kuwaacha na kuendelea na process zilizo mbele baada ya maandamano. Kwa nguvu ya maandalizi nayoisoma,huu ni mtego kwa awamu hii na zile 4R alizoasisi mkuu wa nchi. Siku moja inayoweza haribu legacy kabisa.
Agreed !! Waachiwe tuu ijulikane ni maandamano ya Amani au fujo na taharuki !! Kinachoogopwa ni nini !!??
 
Maandamano ya chadema ni taka taka Kwa sasa!

Walifanya compromise ya kutodai katiba kwa maridhiano ya mchongo!!

Leo wamegeukwa na walambishaji asali ndio wanakumbuka nguvu ya wananchi kwaajili ya faida yao!!

Maandamano ya chadema ni Batili hayafai na nitashangaa watakaoandanamana Kwa kwasasbab zao hizo walizoainisha za mchongo!!

1.ugumu was maisha

Tangy lini maisha ya watZ yakawa marahisi!!?wakati wanafanya maridhiano maisha ya watz yalikuaje!!?

2.miswada Bungeni

Kwani ccm tangy lini tumwpeleka miswada Bungeni ku favor upinzani washinde chaguzi!!?

Wangeandamana kuhusu takwa la Dola na katiba mpya angalau hata wanaccm wenye akili kama Mimi ningewaunga mkono!!

Madhara ya uchaguzi was 2020 Kwa katiba hii ni dhahiri wanadanganywaje nusu mkate Kwa katiba hii kuingia kwenye chaguzi!!?

Wananchi wasiandamane sababu sababu za chadema ni za kijinga sana hazina mashiko!

Dai katiba mpya Rais apunguziwe madaraka na asiwe mwenyekiti was chama Bali mtumishi was umma kama wengine!!
Wewe utakuwa adc au chauma tu!Mtu makini hawezi ongea utopolo huu
 
Hakuna kitu cha kipuuz kama katiba ya Tanzania , njaa hii iliopo pia inasababishwa na mfumo mbovu wa uendeshaji wa nchi sababu ya mapungufu ya hiyo hiyo katiba sasa mkuu kwa akili ndogo tu huoni kama hivi vitu vina uhuhsiano wa karibu ? Mfano rahis tu mtu anaaibia serikali bilion 200 alafu anakutwa na hatia analipa milion 15 kama fine we huoni kama kuna wikness hapo ? Katiba ya tanzania ina wikness nyingi sana na imepitwa na wakati na watawala hawataki ibadilishwe sababu ina wafavour wao, mimi sio chadema wala ccm naonaga wote ni wale wale tu ila kama kuna watu wanaandamana kwa masali mapa a ya hii nchi wache waandamane . CCM wapumbavu sana wanashinda uchaguz kwa ujanja ujanja sawa wanapewa madaraka sawa na sio tatizo basi wafanye vile wananchi wanataka hawafanyi, wanasubir miaka mitano ije waje na uwongo ule ule sasa mkuu lini tutatoka kwenye hiyo loop ? Sababu loop inajirudia every now and then na ndio mana tumestack pale pale, nguvu ya kuhakikisha mtu anashinda uchaguz ili arud madarakani ni kubwa kuliko nguvu anayotumia kufanya shuguli za jamii apatapo madaraka, rubish kabisa watu wa hii nchi.
 
Chadema iwe makini. Uwezekano wa viongozi wao kukamatwa asubuhi majumbani mwao wasitoke ni mkubwa.

Vyombo vya habari kuzuiwa kuchukua picha wakizuiwa (kifungo cha nyumbani kwa masaa) ni mkubwa.

Polisi kuwahi Mbezi na Buguruni mapema na kupiga virungu kila atakayefika hapo hususan vijana.

Magari yenye maji ya pilipili tayari yanaandaliwa na maji ya kuwasha. Wajuzi wanasema tembea na maji mwandamaji, mafuta ya vaselini huzuia maji kuwasha. Lakini KUBWA kuliko ni wingi wenu ndio nguvu yenu. Uchache wenu ndio ushindi wao!

Kisingizio cha ugonjwa wa macho kuwepo nao unaweza kutumika kama kisingizio cha kupiga marufuku kusanyiko. Wapuuzwe. Kusanyiko si lazima kugusana.

Hongera kwa viongozi wa dini waliokubali kushiriki maandamano haya matukufu. Kinachodaiwa kina maslahi ya Watanzania wote wakiwemo CCM na Polisi wao pia.
#24/1/24_4victory
maiti hizo nazo zikamatwe za nini
 
Maandamano ya chadema ni taka taka Kwa sasa!

Walifanya compromise ya kutodai katiba kwa maridhiano ya mchongo!!

Leo wamegeukwa na walambishaji asali ndio wanakumbuka nguvu ya wananchi kwaajili ya faida yao!!

Maandamano ya chadema ni Batili hayafai na nitashangaa watakaoandanamana Kwa kwasasbab zao hizo walizoainisha za mchongo!!

1.ugumu was maisha

Tangy lini maisha ya watZ yakawa marahisi!!?wakati wanafanya maridhiano maisha ya watz yalikuaje!!?

2.miswada Bungeni

Kwani ccm tangy lini tumwpeleka miswada Bungeni ku favor upinzani washinde chaguzi!!?

Wangeandamana kuhusu takwa la Dola na katiba mpya angalau hata wanaccm wenye akili kama Mimi ningewaunga mkono!!

Madhara ya uchaguzi was 2020 Kwa katiba hii ni dhahiri wanadanganywaje nusu mkate Kwa katiba hii kuingia kwenye chaguzi!!?

Wananchi wasiandamane sababu sababu za chadema ni za kijinga sana hazina mashiko!

Dai katiba mpya Rais apunguziwe madaraka na asiwe mwenyekiti was chama Bali mtumishi was umma kama wengine!!
Rubbish
 
Hawa ndugu zetu Mh. Rais angevaa ujasirii akawaacha tu waandamane jioni warudi makwao kupumzika. Kuwazuia kutatumia nguvu kuliko kuwaacha na kuendelea na process zilizo mbele baada ya maandamano. Kwa nguvu ya maandalizi nayoisoma,huu ni mtego kwa awamu hii na zile 4R alizoasisi mkuu wa nchi. Siku moja inayoweza haribu legacy kabisa.
Ninashauri Rais awaache waandamane kama walivyofanya kwa Bawacha itamwongezea Rais Political and diplomatic millage hususani kwa kipindi hiki cha sera ya 4 R. na kwa kuwa wame declare kuwa ni maandamano ya amani, kinyume chake ni kuwapa CDM Sifa za bure. Huu ni mchezo wa mahesabu ya kisiasa.Maoni yangu.
 
Chadema iwe makini. Uwezekano wa viongozi wao kukamatwa asubuhi majumbani mwao wasitoke ni mkubwa.

Vyombo vya habari kuzuiwa kuchukua picha wakizuiwa (kifungo cha nyumbani kwa masaa) ni mkubwa.

Polisi kuwahi Mbezi na Buguruni mapema na kupiga virungu kila atakayefika hapo hususan vijana.

Magari yenye maji ya pilipili tayari yanaandaliwa na maji ya kuwasha. Wajuzi wanasema tembea na maji mwandamaji, mafuta ya vaselini huzuia maji kuwasha. Lakini KUBWA kuliko ni wingi wenu ndio nguvu yenu. Uchache wenu ndio ushindi wao!

Kisingizio cha ugonjwa wa macho kuwepo nao unaweza kutumika kama kisingizio cha kupiga marufuku kusanyiko. Wapuuzwe. Kusanyiko si lazima kugusana.

Hongera kwa viongozi wa dini waliokubali kushiriki maandamano haya matukufu. Kinachodaiwa kina maslahi ya Watanzania wote wakiwemo CCM na Polisi wao pia.
#24/1/24_4victory
Hongera kwa viongozi wa dini waliokubali kushiriki maandamano haya matukufu. Kinachodaiwa kina maslahi ya Watanzania wote wakiwemo CCM na Polisi wao pia.
#24/1/24_4victory

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninashauri Rais awaache waandamane kama walivyofanya kwa Bawacha itamwongezea Rais Political and diplomatic millage hususani kwa kipindi hiki cha sera ya 4 R. na kwa kuwa wame declare kuwa ni maandamano ya amani, kinyume chake ni kuwapa CDM Sifa za bure. Huu ni mchezo wa mahesabu ya kisiasa.Maoni yangu.
Nakubaliana nawe 100%. Naona Mh. Rais na Amiri Jeshi Mkuu atakuwa nje ya nchi. Ngoja tusubiri.
 
Back
Top Bottom