Sikumbuki Usimikwaji wa Askofu uliohudhuriwa na Wakuu wote wa Mihimili ya DOLA kama wa Dr Malasusa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,980
Labda mnikumbushe

Leo Wakuu wote wa Mihimili ya DOLA wameshuhudia Askofu Dr Malasusa akiwekwa kitini kama Mkuu wa Kanisa la KKKT

Rais wa JMT mh Dr Samia alikuwa mgeni rasmi

Spika wa Bunge Dr Tulia alikuwepo

Jaji Mkuu Prof Juma alikuwepo

Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi alikuwepo

Wenyeviti wa Vyama vya Siasa karibia wote waliokuwepo

Askofu Malasusa ameweka rekodi ya aina yake.

Mungu wa Mbinguni mbariki askofu Dr Malasusa, amen!
 
JF wakutunuku tuzo za uletaji wa habari nyingi kwa siku, huna kabisa Mpinzani.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Labda mnikumbushe

Leo Wakuu wote wa Mihimili ya DOLA wameshuhudia Askofu Dr Malasusa akiwekwa kitini kama Mkuu wa Kanisa la KKKT

Rais wa JMT mh Dr Samia alikuwa mgeni rasmi

Spika wa Bunge Dr Tulia alikuwepo

Jaji Mkuu Prof Juma alikuwepo

Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi alikuwepo

Wenyeviti wa Vyama vya Siasa karibia wote waliokuwepo

Askofu Malasusa ameweka rekodi ya aina yake.

Mungu wa Mbinguni mbariki askofu Dr Malasusa, amen!
Kosa lako ni kushindwa kukumbuka. Sasa Tulia
 
Ukiangalia video za mafuriko ya jana na wahanga wanavyoongelea namna majirani zao, wake zao na watoto walivyosombwa na maji. Hasara za mali watu walizopata, nyumba kubomoka.

Halafu ukiangalia response ya serikali, kama vile hakuna kitu kilichotokea, mungu tu anajua hizo maiti ziko wapi leo.

Vigogo wanakutana huyo mfariji mkuu wa nchi na watu wa dini wala hawana habari kama vile hakuna kitu kilichotokea ata mention ya pole kwa wahanga.

Ndipo nchi ilipofikia, viongozi wa nchi hii wanamadharau sana.
 
Labda mnikumbushe

Leo Wakuu wote wa Mihimili ya DOLA wameshuhudia Askofu Dr Malasusa akiwekwa kitini kama Mkuu wa Kanisa la KKKT

Rais wa JMT mh Dr Samia alikuwa mgeni rasmi

Spika wa Bunge Dr Tulia alikuwepo

Jaji Mkuu Prof Juma alikuwepo

Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi alikuwepo

Wenyeviti wa Vyama vya Siasa karibia wote waliokuwepo

Askofu Malasusa ameweka rekodi ya aina yake.

Mungu wa Mbinguni mbariki askofu Dr Malasusa, amen!
Tunaelekea uchaguzi mkuu. Kila kipande kina namna
 
Waliosoma hesabu za milinganyo sahili wanaelewa nini maana ya ku balance equation ya 2025.Na pia ccm wamejaribu ku make T ,Tec the subject lakini kama inagoma so wanaanza na k the kkkt kwenye equation.
 
Labda mnikumbushe

Leo Wakuu wote wa Mihimili ya DOLA wameshuhudia Askofu Dr Malasusa akiwekwa kitini kama Mkuu wa Kanisa la KKKT

Rais wa JMT mh Dr Samia alikuwa mgeni rasmi

Spika wa Bunge Dr Tulia alikuwepo

Jaji Mkuu Prof Juma alikuwepo

Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi alikuwepo

Wenyeviti wa Vyama vya Siasa karibia wote waliokuwepo

Askofu Malasusa ameweka rekodi ya aina yake.

Mungu wa Mbinguni mbariki askofu Dr Malasusa, amen!
Kizazi cha NYOKA.
 
RAIS wa nchi anahudhuria event ambayo ataoengea some politics, unategemea hao "watu wake" wasiwepo?
 
Back
Top Bottom