Kiongozi wa CCM apora nyumba Tanga

Kiongozi wa CCM apora nyumba Tanga

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,250
Reaction score
98,243
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Tanga amepora nyumba ya mtu mjini Tanga.

Sasa tumeanza kujua kuwa waporaji na majambawazi wa nchini wengi wao wantoka CCM.

Tazameni scenario mzima.
 
Nyumba inaporwa?!!! How? 😎

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom