Armed Conflict Location & Event Data Project (ACLED) provides that while a majority of the events analysed did not feature contestation by competing sides, roughly 7 per cent involved some sort of...
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya momba, Mathew Chikoti, akinyeshewa na mvua wakati wa ziara ya kukagua mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari Naming'ongo, na kuagiza mhandisi kuhakikisha...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika Mji wa Katesh Wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara na Kuzungumza na Wananchi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tarehe 7 Desemba, 2023 tayari kuelekea Katesh wilayani Hanang kulipotokea...
Polisi Huwa mnasumbua boda boda ,mbona Hawa Mawaziri waliobebana kwenye bodaboda hamjawatoza faini Kwa kutovaa helmet?
Acheni double standards
Mbunge wa Chamwino Deo Ndejembi akiwa amembeba...
Mambo ambayo nimeyasikia na kuyaona mpaka sasa ya wakimbizi, uchaguzi na ugaidi ni mambo ya polisi, uhamiaji na usalama wa Taifa.
JWTZ wamezungumza masuala gani mahususi kuwahusu wao kama jeshi...
Hakika wale wabunge 19 wa tume ya uchaguzi na bunge(halima na wenzake 18) naona wanatumia njia ndefu sana kujiunga na ccm.
Wabunge hao kwa mujibu wa katiba iliyopo walipaswa wasiwe wabunge kwani...
Mbowe na CHADEMA wana lengo la kupeleka ujumbe duniani juu ya demokrasia ya Tanzania na watatumia maandamano kufikisha ujumbe huo.
Kwa kuwa CHADEMA kinakabiliwa na kutokukubalika na wananchi wa...
21 January 2024
Dkt. Samia Suluhu Hassan atafanya ziara nchini Indonesia kuanzia tarehe 24 – 26 Januari 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Hiki ni moja ya vikosi hatari zaidi nchini vinavyotumika kuzuia ghasia magerezani. Kiko chini ya Jeshi la Magereza
Kwa taarifa za ndaani kabisa, zinasema mafunzo waliyonayo hawa jamaa, FFU...
Ni muda mrefu sana zimesikaka sauti za watu wakipaza kuwepo na mgombea binafsi, mgombea ambaye hana chama chochote cha siasa.
Je, katiba ingeruhusu jambo hili nini kingetokea? Au ni faidi zipi...
Akizungumzia Mvua zilizoleta Mafuriko katika Sehemu mbalimbali Nchini, Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia Wageni, Viongozi pamoja na Washarika wa Kanisa la Azania Front (Jan. 21, 2024) alisema...
When you lose control, you lose balance.
When you lose balance, you lose reason.
When you lose reason, you lose logic.
And when you lose logic, you basically lose your moral compass.
Enter...
Hali ya ulinzi na usalama ndani ya nchi ni shwari licha ya uwepo wa matishio ya kiusalama hasa la tishio la kigaidi na itikadi kali, wanamtandao wa kigaidi wamekuwa wakiwasafirisha vijana wetu...
Kwa mfano Tundu Lisu uandaliwe Mdahalo na Mgombea Urais wa CCM na iwe live unategemea kuna TV itaacha kuonyesha huo mchuano ?
Pamoja na kwamba tunatamani ,je hivi vyama viwili vitaruhusu kutokea...
Jerry Slaa hebu weka muda kidogo kutoka kukataa hongo ya mil. 300 uje uangalie njia za Ukonga hasa ya Kitunda kuelekea Mwanagati.
Hali ni mbaya mno huku. Hatujakuona toka ulipokuja kupiga kampeni.
Mkuu wa Kanisa la KKKT baba askofu Dr. Alex Malasusa amesema alipochaguliwa tu Muumini mmoja alimtumia salamu za pongezi na kusema "Mitaani Watu wanasema wewe uko Karibu sana na Serikali."
Askofu...
Nimefuatilia kwa muda mwenendo wa siasa za hapa nchini na kugundua kuwa nchi haina chama cha upinzani hata kimoja bali ni hivi vyama vingine ni miradi tu kama miradi mingine ya utafutaji pesa...
Kwa kweli huwa najiuliza, lakini nakosa majibu, hivi inakuwaje Kwa Rais wetu Dkt Samia Suluhu Hassan, aingie na walinzi wake na huku akichukua hadi kiti chake Cha Ikulu, ili akalie kwenye nyumba...
Moja ya kosa kubwa lililo fanyika Tanzania toka utawala wa awamu ya kwanza ni kushindwa kupambana na udini.
Kilichofanyika wakati wa Nyerere na sasa ni kupambana na udini kwa kutengeneza udini wa...