Kikosi cha kuzuia ghasia magerezani: moja ya vikosi hatari kabisa, FFU wanasubiri kwa hawa jamaa

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,009
20,683
Hiki ni moja ya vikosi hatari zaidi nchini vinavyotumika kuzuia ghasia magerezani. Kiko chini ya Jeshi la Magereza

Kwa taarifa za ndaani kabisa, zinasema mafunzo waliyonayo hawa jamaa, FFU wanasubiri.. Jamaa ni kama wanakula misumari kwa meno, au wanatafuna kokoto.

Ni kikosi ambacho si maarufu sana, labda kijitokeze tarehe 24/1/2024.

Kikosi gani unakijua kwa matata makubwa mbali na hawa jamaa na MP(Millitary Police) Polisi wa jeshi la wananchi wa Tanzania?
 
Hiki ni moja ya vikosi hatari zaidi nchini vinavyotumika kuzuia ghasia magerezani.

Kwa taarifa za ndaani kabisa, zinasema mafunzo waliyonayo hawa jamaa, FFU wanasubiri.

Ni kikosi ambacho si maarufu sana, labda kijitokeze tarehe 24/1/2024.

Kikosi gani unakijua kwa matata makubwa mbali na hawa jamaa na MP(Millitary Police)?
Hicho kikosi kimetoka mbinguni? Kama wamezaliwa na watanzania hawawezi kupiga ndg zao na mama zao Kwa sababu ya maslahi ya familia fulani
 
Hiki ni moja ya vikosi hatari zaidi nchini vinavyotumika kuzuia ghasia magerezani. Kiko chini ya Jeshi la Magereza

Kwa taarifa za ndaani kabisa, zinasema mafunzo waliyonayo hawa jamaa, FFU wanasubiri.. Jamaa ni kama wanakula misumari kwa meno, au wanatafuna kokoto.

Ni kikosi ambacho si maarufu sana, labda kijitokeze tarehe 24/1/2024.

Kikosi gani unakijua kwa matata makubwa mbali na hawa jamaa na MP(Millitary Police)?
Watanzania wengi kama wewe wanapenda sana kupigwapigwa.

Sasa kikosi cha kuzuia fujo kwenye magereza sisi uraiani 24/1 kinatuhusu nini?

Kwani sisi wafungwa?
 
Hiki ni moja ya vikosi hatari zaidi nchini vinavyotumika kuzuia ghasia magerezani. Kiko chini ya Jeshi la Magereza

Kwa taarifa za ndaani kabisa, zinasema mafunzo waliyonayo hawa jamaa, FFU wanasubiri.. Jamaa ni kama wanakula misumari kwa meno, au wanatafuna kokoto.

Ni kikosi ambacho si maarufu sana, labda kijitokeze tarehe 24/1/2024.

Kikosi gani unakijua kwa matata makubwa mbali na hawa jamaa na MP(Millitary Police) Polisi wa jeshi la wananchi wa Tanzania?
Tatizo lako hujui hata haki zako za msingi.
 
Hakuna lolote zaidi ya kuwa waonevu, kupiga watu na mafimbo na kuwazungusha kwenye matope uchi ndo ubora?

Ningesikia mtu kamkabili mtu mwenye silaha bila kumuua kama Amza, ndo ningesema ni bora.
 
Hiki ni moja ya vikosi hatari zaidi nchini vinavyotumika kuzuia ghasia magerezani. Kiko chini ya Jeshi la Magereza

Kwa taarifa za ndaani kabisa, zinasema mafunzo waliyonayo hawa jamaa, FFU wanasubiri.. Jamaa ni kama wanakula misumari kwa meno, au wanatafuna kokoto.

Ni kikosi ambacho si maarufu sana, labda kijitokeze tarehe 24/1/2024.

Kikosi gani unakijua kwa matata makubwa mbali na hawa jamaa na MP(Millitary Police) Polisi wa jeshi la wananchi wa Tanzania?
Mbona mnataka kuiweka nchi kwenye taharuki bila sababu kisa maandamano ya amani? Kwani nchi hii maandamano hayajawahi kuwepo haya ndiyo ya kwanza? Hadi Rais kaenda kuwaalika JW waje kuwashughulikia Chadema ni nini hiki CCM mnataka kutuletea? Haya njoni mtuue hiyo 24/01/2024 .
 
Mbwa anapombwekea tajiri yake.

Daah,kweli Tanzania Bado Sana.
Wale niwajinga waliochangamka keep ujumla majeshi mengi.
Elimu zao hazina tofauti na msomi wa PhD aliyeko Ccm.
So,ni Chupa na Mfuniko😄😄😄😄😄😄
 
Kwakuwa vikosi aina hiyo vimeshindwa kuzuia kura fake kuingia kwenye Sanduku la kura ndo sababu Kuna maandamano.

Karibu
 
Hiki ni moja ya vikosi hatari zaidi nchini vinavyotumika kuzuia ghasia magerezani. Kiko chini ya Jeshi la Magereza

Kwa taarifa za ndaani kabisa, zinasema mafunzo waliyonayo hawa jamaa, FFU wanasubiri.. Jamaa ni kama wanakula misumari kwa meno, au wanatafuna kokoto.

Ni kikosi ambacho si maarufu sana, labda kijitokeze tarehe 24/1/2024.

Kikosi gani unakijua kwa matata makubwa mbali na hawa jamaa na MP(Millitary Police) Polisi wa jeshi la wananchi wa Tanzania?
wanaishi kwenye mabanda ya njiwa, watoke wakawasaidie Mafisadi kula meema ya nchi ilihali wao wanaishi kwenye mabanda ya njiwa,
 
Back
Top Bottom