Masuala gani mahususi ya jeshi la wananchi wa Tanzania yamezungumzwa leo na mkuu wa majeshi

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,620
46,261
Mambo ambayo nimeyasikia na kuyaona mpaka sasa ya wakimbizi, uchaguzi na ugaidi ni mambo ya polisi, uhamiaji na usalama wa Taifa.

JWTZ wamezungumza masuala gani mahususi kuwahusu wao kama jeshi?
Mfano ajira, utayari wa mapambano, silaha, ushirikiano na majeshi mengine, teknolojia mpya, misheni za amani nje ya nchi n.k
 
Back
Top Bottom