Rais hana Imani na wananchi wake hadi aingie kwenye nyumba za ibada na walinzi wake?

Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
15,484
30,162
Kwa kweli huwa najiuliza, lakini nakosa majibu, hivi inakuwaje Kwa Rais wetu Dkt Samia Suluhu Hassan, aingie na walinzi wake na huku akichukua hadi kiti chake Cha Ikulu, ili akalie kwenye nyumba za ibada, Huku akilindwa na walinzi wake zaidi ya wawili?

Hivi hatuoni kuwa hatuishi na maneno tunayojidai nayo kuwa hii nchi ni kisiwa Cha amani?

Huu ulinzi wa viongozi wetu nauchukulia kama viongozi wetu, wanachukulia kama nchi yetu ipo vitani!

Nimeshuhudia Jana katika tukio la kusimikwa Kwa Askofu Malasusa, kuwa Mkuu wa KKKT, katika ibada iliyofanyika katika kanisa la Azania Front

Binadamu wote tunaamini kuwa, kwenye nyumba za ibada, wanaingia watu watakatifu na wenye kumwamini na kumhofia Mungu wetu

Katika maandiko kwenye vitabu vyetu vya dini, inaandikwa kuwa hairuhusiwi Kwa binadamu kupanga njama yoyote ya kumdhuru binadamu mwenzake na tukiamini pia wale waumini wa dini hizo, wanaokwenda makanisani na misikitini, ndiyo wanaopaswa kuyafuata Kwa umakini mkubwa wa maandiko hayo.

Ukitafakari Kwa makini, huu "woga" wa kutowaamini wananchi wake, upo katika nchi yetu pekee!

Katika nchi za wenzetu, unaweza kumkuta kiongozi kama Rais wa nchi, anajichanganya na wananchi wake, bila ya kulindwa na ulinzi wowote!

Najiuliza, hivi Hawa viongozi wetu, mbona Wana hofu kubwa na wananchi wake hadi "wajirundikie" na msururu wa walinzi?

Hivi Hawa watawala wetu, hawaoni kuwa "kuwarundika" walinzi kibao, ili wawalinde ni kuwaongezea gharama wananchi wao, Kwa kuwa hizo gharama za walinzi wanaowalinda, ni mzigo mkubwa Kwa wananchi wanaokamuliwa Kodi wa nchi hii??
 
Tatizo mnaongopewa sana na dini zenu za uongo. Shetani na Mungu ni mwanadamu, anaweza tengeneza na kuharibu vilevile.
 
Uko dunia ya wapi wewe? Wahalifu wapo kila mahala na pia nyumba za ibada wanaingia watu wa mataifa yote duniani
 
"Binadamu wote tunaamini kuwa, kwenye nyumba za ibada, wanaingia watu watakatifu na wenye kumwamini na kumhofia Mungu wetu"

Huo hapo juu ni ujinga. Usirudie tena kuandika kitu kama hicho!
Kwanini nisirudie?
Kwa kuwa Mimi ninaamini hivyo.
FULL STOP
 
Kwa kweli huwa najiuliza, lakini nakosa majibu, hivi inakuwaje Kwa Rais wetu Dkt Samia Suluhu Hassan, aingie na walinzi wake na huku akichukua hadi kiti chake Cha Ikulu, ili akalie kwenye nyumba za ibada, Huku akilindwa na walinzi wake zaidi ya wawili?

Hivi hatuoni kuwa hatuishi na maneno tunayojidai nayo kuwa hii nchi ni kisiwa Cha amani?

Huu ulinzi wa viongozi wetu nauchukulia kama viongozi wetu, wanachukulia kama nchi yetu ipo vitani!

Nimeshuhudia Jana katika tukio la kusimikwa Kwa Askofu Malasusa, kuwa Mkuu wa KKKT, katika ibada iliyofanyika katika kanisa la Azania Front

Binadamu wote tunaamini kuwa, kwenye nyumba za ibada, wanaingia watu watakatifu na wenye kumwamini na kumhofia Mungu wetu

Katika maandiko kwenye vitabu vyetu vya dini, inaandikwa kuwa hairuhusiwi Kwa binadamu kupanga njama yoyote ya kumdhuru binadamu mwenzake na tukiamini pia wale waumini wa dini hizo, wanaokwenda makanisani na misikitini, ndiyo wanaopaswa kuyafuata Kwa umakini mkubwa wa maandiko hayo.

Ukitafakari Kwa makini, huu "woga" wa kutowaamini wananchi wake, upo katika nchi yetu pekee!

Katika nchi za wenzetu, unaweza kumkuta kiongozi kama Rais wa nchi, anajichanganya na wananchi wake, bila ya kulindwa na ulinzi wowote!

Najiuliza, hivi Hawa viongozi wetu, mbona Wana hofu kubwa na wananchi wake hadi "wajirundikie" na msururu wa walinzi?

Hivi Hawa watawala wetu, hawaoni kuwa "kuwarundika" walinzi kibao, ili wawalinde ni kuwaongezea gharama wananchi wao, Kwa kuwa hizo gharama za walinzi wanaowalinda, ni mzigo mkubwa Kwa wananchi wanaokamuliwa Kodi wa nchi hii??
Respect all, trust nobody!!
 
Licha ya kanisani, hata akiwa kwake akiwa na familia yake analindwa pia. Sehemu pekee ambayo hatakwenda na walinzi wale ni Mbele za Mungu.
 
Rais kagame Huwa anasimama mwenyewe bila mlinzi nyuma yake .
Naomba mnieleweshe
 
Licha ya kanisani, hata akiwa kwake akiwa na familia yake analindwa pia. Sehemu pekee ambayo hatakwenda na walinzi wale ni Mbele za Mungu.
Umenena kweli.

Hebu tujiulize yule Mwendazake, pamoja na kulindwa na mabunduki koasi kile, lakini ilipofika wakati, Mungu akamtwaa!
 
Kwa kweli huwa najiuliza, lakini nakosa majibu, hivi inakuwaje Kwa Rais wetu Dkt Samia Suluhu Hassan, aingie na walinzi wake na huku akichukua hadi kiti chake Cha Ikulu, ili akalie kwenye nyumba za ibada, Huku akilindwa na walinzi wake zaidi ya wawili?

Hivi hatuoni kuwa hatuishi na maneno tunayojidai nayo kuwa hii nchi ni kisiwa Cha amani?

Huu ulinzi wa viongozi wetu nauchukulia kama viongozi wetu, wanachukulia kama nchi yetu ipo vitani!

Nimeshuhudia Jana katika tukio la kusimikwa Kwa Askofu Malasusa, kuwa Mkuu wa KKKT, katika ibada iliyofanyika katika kanisa la Azania Front

Binadamu wote tunaamini kuwa, kwenye nyumba za ibada, wanaingia watu watakatifu na wenye kumwamini na kumhofia Mungu wetu

Katika maandiko kwenye vitabu vyetu vya dini, inaandikwa kuwa hairuhusiwi Kwa binadamu kupanga njama yoyote ya kumdhuru binadamu mwenzake na tukiamini pia wale waumini wa dini hizo, wanaokwenda makanisani na misikitini, ndiyo wanaopaswa kuyafuata Kwa umakini mkubwa wa maandiko hayo.

Ukitafakari Kwa makini, huu "woga" wa kutowaamini wananchi wake, upo katika nchi yetu pekee!

Katika nchi za wenzetu, unaweza kumkuta kiongozi kama Rais wa nchi, anajichanganya na wananchi wake, bila ya kulindwa na ulinzi wowote!

Najiuliza, hivi Hawa viongozi wetu, mbona Wana hofu kubwa na wananchi wake hadi "wajirundikie" na msururu wa walinzi?

Hivi Hawa watawala wetu, hawaoni kuwa "kuwarundika" walinzi kibao, ili wawalinde ni kuwaongezea gharama wananchi wao, Kwa kuwa hizo gharama za walinzi wanaowalinda, ni mzigo mkubwa Kwa wananchi wanaokamuliwa Kodi wa nchi hii??

Once uki understand nature ya binadamu , utagundua imani ni kitu cha kufikirika.
Binadam anaweza react to harm haijalishi ni kanisani au lah
 
Hakwenda kufanya ibada.

Ulinzi wa Rais siyo kazi ya Rais. Kuna watu wenye kazi hizo.
 
"Katika nchi za wenzetu, unaweza kumkuta kiongozi kama Rais wa nchi, anajichanganya na wananchi wake, bila ya kulindwa na ulinzi wowote!",

Naomba nitajie nchi hata mbili tu ambazo Rais anajichanganya na wananchi bila ulinzi wowote.
 
Kwa kweli huwa najiuliza, lakini nakosa majibu, hivi inakuwaje Kwa Rais wetu Dkt Samia Suluhu Hassan, aingie na walinzi wake na huku akichukua hadi kiti chake Cha Ikulu, ili akalie kwenye nyumba za ibada, Huku akilindwa na walinzi wake zaidi ya wawili?

Hivi hatuoni kuwa hatuishi na maneno tunayojidai nayo kuwa hii nchi ni kisiwa Cha amani?

Huu ulinzi wa viongozi wetu nauchukulia kama viongozi wetu, wanachukulia kama nchi yetu ipo vitani!

Nimeshuhudia Jana katika tukio la kusimikwa Kwa Askofu Malasusa, kuwa Mkuu wa KKKT, katika ibada iliyofanyika katika kanisa la Azania Front

Binadamu wote tunaamini kuwa, kwenye nyumba za ibada, wanaingia watu watakatifu na wenye kumwamini na kumhofia Mungu wetu

Katika maandiko kwenye vitabu vyetu vya dini, inaandikwa kuwa hairuhusiwi Kwa binadamu kupanga njama yoyote ya kumdhuru binadamu mwenzake na tukiamini pia wale waumini wa dini hizo, wanaokwenda makanisani na misikitini, ndiyo wanaopaswa kuyafuata Kwa umakini mkubwa wa maandiko hayo.

Ukitafakari Kwa makini, huu "woga" wa kutowaamini wananchi wake, upo katika nchi yetu pekee!

Katika nchi za wenzetu, unaweza kumkuta kiongozi kama Rais wa nchi, anajichanganya na wananchi wake, bila ya kulindwa na ulinzi wowote!

Najiuliza, hivi Hawa viongozi wetu, mbona Wana hofu kubwa na wananchi wake hadi "wajirundikie" na msururu wa walinzi?

Hivi Hawa watawala wetu, hawaoni kuwa "kuwarundika" walinzi kibao, ili wawalinde ni kuwaongezea gharama wananchi wao, Kwa kuwa hizo gharama za walinzi wanaowalinda, ni mzigo mkubwa Kwa wananchi wanaokamuliwa Kodi wa nchi hii??
Mwinyi alitandikwa kofi msikitini
 
Mambo ya ulinzi wa rais na VIP wengine si kazi ya rais. Kuna wahusika ambao wanajua kazi yao vizuri sana na ni bora tuwaachie wafanye kazi yao
 
Back
Top Bottom