Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,194
- 4,115
Hali ya ulinzi na usalama ndani ya nchi ni shwari licha ya uwepo wa matishio ya kiusalama hasa la tishio la kigaidi na itikadi kali, wanamtandao wa kigaidi wamekuwa wakiwasafirisha vijana wetu wenye umri wa kati ya miaka 15 na 35 kwenda kujiunga na vikundi vya kigaidi hususani katika nchi za DRC, Msumbiji na Somalia hali inayoonesha ukuaji wa tatizo hilo hapa nchini," amesema Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Jacob Mkunda