Rais Samia: Wanaokaa mabondeni hameni

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,618
Akizungumzia Mvua zilizoleta Mafuriko katika Sehemu mbalimbali Nchini, Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia Wageni, Viongozi pamoja na Washarika wa Kanisa la Azania Front (Jan. 21, 2024) alisema "Tabia ya nchi inabadilika badilika, kwa hiyo tunawataka Wananchi wawe na hadhari. Wale wanaohisi wapo katika maeneo ya hatari waondoke wasogee juu"

Aliongeza "Kwa sababu hatuwezi kudhibiti kiwango cha mvua inayonyesha, angalau huko Vijijini tumeanza kuchimba Mabwawa ya kuhifadhi Maji, katika maeneo ya Mji hayo hayawezi kufanyika. Niombe sana Wananchi tuchukue tahadhari na kuliepusha taifa na Misiba mikubwa au hatari kubwa zinazotokana na mabadiliko ya tabia nchi"
 
Back
Top Bottom