Tundu Lisu Mgombea Urais Chadema akifanya mdahalo na Mgombea Urais wa CCM 2025 Dunia itasimama kwa muda

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
876
4,101
Kwa mfano Tundu Lisu uandaliwe Mdahalo na Mgombea Urais wa CCM na iwe live unategemea kuna TV itaacha kuonyesha huo mchuano ?

Pamoja na kwamba tunatamani ,je hivi vyama viwili vitaruhusu kutokea kwa mdahalo huo? Kama haitaruhusu unadhani kwanini itakuwa ngumu kuruhusu msuguano huu wa fikra?
 
Honorable causa akifanya jambo hilo ni wazi atajutia maamuzi yake katika maisha yake yote.Lissu ni level nyingine kabisa uko CCM Kuna wapumbavu.
 
Back
Top Bottom