Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, Kama kawaida ya kila Jumamosi asubuhi, kila nipatapo muda, huangazia Kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kinachorushwa mubashara na Star TV, chini ya Uongozi wa nguli Dotto Emmanuel...
9 Reactions
106 Replies
12K Views
Ratiba ya msafara wa njia ya Mazishi ya Hayati Edward Lowassa
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Ukosefu wa dola sasa unaathiri biashara nyingi zinazotegemea kuagiza vipuri na malighafi zinazohitajika kuagizwa nje. Kwa miaka mingi viongozi wa serikali wamekuwa wakishinda kila kiongozi...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Wanabodi, Huu ni ushauri wangu wa bure kwa Mhe. Edward Ngoyai Lowassa kuwa japo amerejea nchini akiwa fit na yuko tayari kwa mapambano yoyote, namshauri asitumbukize mguu wake kwenye kampeni za...
1 Reactions
39 Replies
10K Views
Wanabodi, Huu ni ushauri wa bure kwa Mhe. Edward Lowassa, kwa opinion yangu as of now, it's just a matter of time kabla hajaunga mkono juhudi, tunamuomba sana, kabla ya yote, akanushe kwanza Tamko...
11 Reactions
125 Replies
21K Views
Msafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda umepata ajali leo Februari 11, 2024 katika eneo la Sululu, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara. Katika...
15 Reactions
220 Replies
16K Views
Nimesikiliza kamati ikitoa mapendekezo kwa maaana ya maazimio ya bunge hawa mawaziri hawamsaidii Rais Samia, changamoto ni nyingi sana ndani ya wizara zao kuliko successions. Wapigwe chini tupate...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
12 February 2024 TASK FORCE / KIKOSI KAZI CHINI YA MKUU WA MKOA, CHAKAMATA WATU KADHAA MKOA WA DAR ES SALAAM Hayo yasemwa na mkuu wa mkoa wa DSM alipokuwa katika operesheni maalum...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Mimi Joseph Mungai sijawahi kuyasema maneno hayo ambayo yanapotosha ukweli. Mimi nilikuwa Waziri wa Elimu kwa miaka mitano (5) 2000-2005; na SIYO kwa miaka minane (8). Mipango muhimu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tunataka uwazi na hatutaki longolongo. Magari 13 yamepata ajali katika msafara wa Makonda huko Masasi. 1. Wamiliki wa hayo magari ni nani? Maana kuna taarifa zisizo rasmi kuwa yapo magari ya...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia Eng. Kundo A. Mathew amesema Serikali inapanga kuanza kutoa Elimu kuhusu athari za Akili Unde (AI) kwa watumiaji wake pamoja na kuandaa Sera...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kufuatia Prof Tibaijuka kusema kimfumo Mpinzani hawezi kutangazwa mshindi akishinda Urais, mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema mh John Heche amesema Uchaguzi wa 2015 ulipinduliwa kwa lengo la kuuwa...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Wanabodi, Hii ni thread ya kutoamini kuwa hii statement ya Lowassa ndicho alichoitiwa Ikulu. Hii statement ya Lowassa kuwa rais Magufuli, alimuita yeye Lowassa Ikulu, ili kumrubuni kwa...
73 Reactions
214 Replies
29K Views
Pope Francis meets with President of Tanzania Pope Francis holds an audience with President Samia Suluhu Hassan of the United Republic of Tanzania, expressing their joint commitment to promoting...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
Kutwaliwa Mzee Lowassa ni msiba mkubwa Zaidi kwa Chadema Poleni Sana wanachadema Poleni Sana CCM
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Maneno hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Nchi, Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete wakati akijibu swali lililoulizwa Bungeni na Mbunge wa Jimbo la Mbuli Mjini Ndg. Zacharia Isaay...
1 Reactions
2 Replies
653 Views
Kunatofauti ya kuamua na kusimamia maamzi. Ujenzi wa shule za kata nchi nzima ulikuwa uamuzi wa CCM na ulikuwa kwenye ilani ya uchaguzi 2005-2010 USHAHIDI HUU HAPA Elimu ya Sekondari 61. CCM...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
KIFO CHA ACT WAZALENDO NI "POOR PARENTING." ACT wazalendo ina kila sababu ya kuwa Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania, na kuongoza idadi ya madiwani na Wabunge Chaguzi zijazo kulinganisha na...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Nawaheshimu sana CHADEMA kama chama kikuu cha Upinzani lakini ni ngumu sana kukipa Nchi chama ambacho marafiki na wadau wao wakubwa ni nchi za nje. Je, usalama wa rasmali za nchi utakuwepo? Ni...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Leo tarehe 12 Februari 2024 Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amewasilisha Mahakamani nia ya kutoendelea na kesi ya mauaji inayowakabili George Sanga, Optatus Nkwera na Goodlucky Mfuse. Baada ya...
10 Reactions
22 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…