Kila mgeni anayetua hapa nchini naona anapokelewa Ikulu ya Dar, tulivyotangaziwa ni kuwa kukamilika Ikulu ya Dodoma ni kwamba shughuli zote za Rais zitakuwa ikulu ya Dodoma.
Hivyo nilitegemea...
Hivi kweli Pambalu anajua wakati wao wanakimbia mabomu ya machozi kwasababu ya Kuvunja Sheria za nchi kwa msukumo wa Lissu na Mbowe, watoto wa Lissu na Mbowe wako zao US wanaogelea kwenye Swimming...
Kama Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Paulo Makonda ametuzuia kuto kwenda Mahakamani tena
Nauliza mahakimu,wote na watumishi wa Mahakama mnasubilia kufanya kazi gni?
Kuusema ukweli sisi...
Eti wanakambi, mbona maandamano ya Mwanza hayana promo wala msisimko kama ilivyokuwa Dar? Au yamepigwa stop na Amos Makalla? Au sababu za maandamano yamepatiwa ufumbuzi tayari? Au Chadema imeons...
Nimefuatilia kiasi ziara za Bwana Paul Makonda a.k.a Ndugu Bashite mzee wa mikogo anazofanya sehemu mbalimbali kwenye ardhi hii ya "wadanganyika sugu"
Shida zinazoibuliwa kama umaskini wa baadhi...
Soko kubwa linaloitwa Soko la Mitumba linalopatikana Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma linateketea kwa moto usiku huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijajulikana.
Tayari Jeshi la...
Akitoa hotuba yake, Sheikh Muharam Mziwanda amedai kwamba Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena bandarini.
Kama ni kweli, je ujio wa DP unaenda kukata mirija ya hawa ndugu? Kuna...
Wiki hii imeshuhidia watu wawili wanaopaswa kuheshimika kwani ni Wabunge wakitoa maoni yanayopaswa kutolewa na Mjukuu wa mhusika anayesoma chekechea.
1. Wa Kwanza kupiga Boko alikuwa Mbunge wa...
Ni Ukweli ulio wazi Ule Mvuto wa Kitaasisi kwenye vyama vya Siasa haupo tena na sasa vyama vinatembelea Nyota za " Mashariki" za Watu binafsi
Kwa sasa Makonda ndiye CCM na Tundu Antipas Lisu...
"....Biteko huenda akabakia na cheo cha Naibu PM huku Nishati Kalemani akarejeshwa kwa sababu Paul alishamwombea msamaha toka mwaka jana. Si unajua Dk naye alikuwa ana mu-ignore bi mkubwa kipindi...
Nchimbi ni akili kubwa sana aliposema Watumishi wa Umma siyo maadui wa chama tafsiri yake ametumia hekima ya wazee wanaosema Mkeo akikosea anasemwa chumbani siyo hadharani,Kuku wako Manati ya nini...
Rejea thread niliyoanzisha ikisema,
Waziri wa Nishati anafanya nini kikaoni wakati Nchi Iko gizani?- Rabbon.
Hoja ya thread hapo juu ililenga kuuulizia ilipo nafasi ya waziri wa Nishati ambayo...
Chama cha mapinduzi CCM toka kimeanzishwa hakina utamaduni wa kuvuliwa nguo, hata babu zetu waliotangulia katika makaburi ya uko ginigi wanalijua ilo.
Ukumbi wa Chimwaga Dodoma una historia...
Yule jamaa mwandishi wa habari wa kwanza wa BBC swahili na hakika ndiyo alistahili kuwa rais wa nchi hii sio huyu mnaomsema ninyi kwanza mnaomsema ninyi ni mwasisi wa haya yote kwanza waTanzania...
Aliyekuwa Meya wa Ubungo mh Boniface Jacob amemlilia mzee Lowasa na kusema " Rafiki wa kweli, Jabali la Siasa za Tanzania leo amelala"
Jacob amesema alibahatika kufanya KAZI na Mzee Lowassa na...
Je, hao watu ni masikini sana kiasi kwamba hawajaunganisha umeme majumbani kwao au ni nini?
Kwasababu mtu mwenye akili timamu hawezi kwenda kushabikia mikutano ya watu waliofeli.
Hatimaye Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewaandikia barua aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe, na aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu, Dk. Kitila Mkumbo, ambao wiki iliyopita...
Nimeona niliweke hili ili kuondoa sintofahamu inayozunguka nchini Tanzania kwa sasa.
Hakuna haja yoyote ya mtu yeyote kupanic kwa sababu yeyote ile .
CHADEMA ni kama Jeshi, hakuna kamanda yeyote...
Hili ni swali tu kwa wale wanaohusika na Utoaji wa vibali vya Maandamano
Kama ni kero wote tumeshuhudia Makonda akizikusanya na kama ni sheria za Uchaguzi Chadema walishapeleka malalamiko yao UN...
Mfano mdogo leo hii Makonda, anazunguluka nchi nzima, kuwauliza watu matatizo yao, matatizo ambayo yamesababisha na serikali , serikali ambayo inasimamiwa na chama chao, yani mfano. Wake ,mwizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.