Kamati ya Bunge Kilimo, Uvuvi changamoto ni nyingi sana. Mawaziri Bashe na Ulega hamtoshi

troiker

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
1,430
2,265
Nimesikiliza kamati ikitoa mapendekezo kwa maaana ya maazimio ya bunge hawa mawaziri hawamsaidii Rais Samia, changamoto ni nyingi sana ndani ya wizara zao kuliko successions.

Wapigwe chini tupate watu wenye kasi zaidi na weledi, hawa kazi zao ni kusema mama anaupiga mwingi,iweje awe anaupiga mwingi kamati ya section zao zijae changamoto nyingi kiasi hicho?

Hawafai
 
Nimesikiliza kamati ikitoa mapendekezo kwa maaana ya maaadhimio ya bunge hawa mawaziri hawamsaidii rais Samia,changamoto ni nyingi sana ndani ya wizara zao kuliko successions.

Wapigwe chini tupate watu wenye kasi zaidi na weledi,sio hawa kazi zao ni kusema mama anaupiga mwingi,iweje awe anaupiga mwingi kamati ya section zao zijae changamoto nyingi kiasi hicho?,hawafai
Halafu utawasikia Makonda anatuagiza kama nani?
 
Nimesikiliza kamati ikitoa mapendekezo kwa maaana ya maazimio ya bunge hawa mawaziri hawamsaidii Rais Samia, changamoto ni nyingi sana ndani ya wizara zao kuliko successions.

Wapigwe chini tupate watu wenye kasi zaidi na weledi,sio hawa kazi zao ni kusema mama anaupiga mwingi,iweje awe anaupiga mwingi kamati ya section zao zijae changamoto nyingi kiasi hicho? Hawafai
Kama Kuna wizara inatakiwa kupewa uzito wa hali ya juu ni wizara ya kilimo, ukiachana na ile ya afya pamoja na ulinzi.

Wizara ya kilimo ni moja ya wizara nyeti Sana katika nchi yetu ambayo asilimia zaidi ya 70% ya watu wake ni wakulima, zaidi ya Hapo asilimia Kama 60% ya ajira nchini Tanzania zinatoka kwenye kilimo, vilevile zaidi ya asilimia 20% ya pato la ndani (GDP) hutoka kwenye kilimo.
SOURCE: GoT
: (UNICEF, 2023).

Hivyo basi, ubabaishaji kwenye hii sekta ni msiba mzito kwa maendeleo ya taifa letu, japo hatuwezi kubeza jitihata zinazofanywa lakini bado mapungufu yapo ya kutosha.
Ili kuifanya sekta ya kilimo iweze kuwa Engine imara ya uchumi wetu ni bora kuwepo na mikakati shirikishi itakayolenga kuleta mabadiliko katika kilimo, ikienda sambamba na ushiriki wa wanajamii ambao ndiyo wazarishaji wakubwa wa bidhaa za kilimo. Japo BBT ipo lakini bado mikakati thabiti inahitajika kwa uharaka zaidi.
 
Ulega, naibu wake hawatoshi kabisa katika hiyo wizara ya mifugo na uvuvi hasa uvuvi bora wakina mpina na magufuli walijaribu kuonyesha mwanga..uvuvi haramu umewashinda kudhibiti pia usimamizi wizarani ni mdogo kutokana upungufu wa watumishi hasa maafisa uvuvi.
 
Nimesikiliza kamati ikitoa mapendekezo kwa maaana ya maazimio ya bunge hawa mawaziri hawamsaidii Rais Samia, changamoto ni nyingi sana ndani ya wizara zao kuliko successions.

Wapigwe chini tupate watu wenye kasi zaidi na weledi, hawa kazi zao ni kusema mama anaupiga mwingi,iweje awe anaupiga mwingi kamati ya section zao zijae changamoto nyingi kiasi hicho?

Hawafai
Changamoto nyingi sana shida ni bajeti ...sera au mawaziri ? Hata umlete mjomba wako hakuna kitu hapo.....hakuna bajeti ...bla bla tuu....uvuvi mnasema hakuna maafisa uvuvi sasa waziri atawatoa wapi kama hakuna bajeti?
.
 
wakina magufuli na mpina waliwezaje katika nafasi zao hizo? japokuwa upungufu wa bajeti ilikuwa bado ni changamoto kwao.
Hakuna walichofanya.....kuna lipi la maana walifanya ....hebu sema ealifanya nini sasa hawawezi kufanya...??kuchoma nyavu za wavuvi??
 
Hakuna walichofanya.....kuna lipi la maana walifanya ....hebu sema ealifanya nini sasa hawawezi kufanya...??kuchoma nyavu za wavuvi??
Hujui kitu wewe, Mpina aliingia Wizarani akakuta Wizara unakusanya Million 200 kwa mwaka.

Uchapa kazi ukafanyika haswaaa makusanyo yakasoma Billion 300 plus.
 
Hawa kina Ulega sio watu wa matokeo. Watamkwamisha sana Mama Samia. Huwezi kutoboa Kwa watu ambao wanafanya ziara za kumfurahisha mteuzi badala ya kufanya ubunifu wa kuongeza ufanisi wa sekta zao.
 
Nimesikiliza kamati ikitoa mapendekezo kwa maaana ya maazimio ya bunge hawa mawaziri hawamsaidii Rais Samia, changamoto ni nyingi sana ndani ya wizara zao kuliko successions.

Wapigwe chini tupate watu wenye kasi zaidi na weledi, hawa kazi zao ni kusema mama anaupiga mwingi,iweje awe anaupiga mwingi kamati ya section zao zijae changamoto nyingi kiasi hicho?

Hawafai
Ulega yeye kazi kusifia tu,Mama anaupiga mwingi
😀😀
 
Hujui kitu wewe, Mpina aliingia Wizarani akakuta Wizara unakusanya Million 200 kwa mwaka.

Uchapa kazi ukafanyika haswaaa makusanyo yakasoma Billion 300 plus.
Secta ya Kilimo na Uvuvi lazima ipate watu wa matokeo sio watu wa bla bla kama ulega na wasaidizi wake maana ni secta zilizobeba maisha ya watu hasa wa wakaida kabisa.
 
Back
Top Bottom