Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimefuatilia kiasi ziara za Bwana Paul Makonda a.k.a Ndugu Bashite mzee wa mikogo anazofanya sehemu mbalimbali kwenye ardhi hii ya "wadanganyika sugu" Shida zinazoibuliwa kama umaskini wa baadhi...
0 Reactions
0 Replies
252 Views
Soko kubwa linaloitwa Soko la Mitumba linalopatikana Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma linateketea kwa moto usiku huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijajulikana. Tayari Jeshi la...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Akitoa hotuba yake, Sheikh Muharam Mziwanda amedai kwamba Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena bandarini. Kama ni kweli, je ujio wa DP unaenda kukata mirija ya hawa ndugu? Kuna...
23 Reactions
234 Replies
21K Views
Wiki hii imeshuhidia watu wawili wanaopaswa kuheshimika kwani ni Wabunge wakitoa maoni yanayopaswa kutolewa na Mjukuu wa mhusika anayesoma chekechea. 1. Wa Kwanza kupiga Boko alikuwa Mbunge wa...
19 Reactions
40 Replies
3K Views
Ni Ukweli ulio wazi Ule Mvuto wa Kitaasisi kwenye vyama vya Siasa haupo tena na sasa vyama vinatembelea Nyota za " Mashariki" za Watu binafsi Kwa sasa Makonda ndiye CCM na Tundu Antipas Lisu...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
"....Biteko huenda akabakia na cheo cha Naibu PM huku Nishati Kalemani akarejeshwa kwa sababu Paul alishamwombea msamaha toka mwaka jana. Si unajua Dk naye alikuwa ana mu-ignore bi mkubwa kipindi...
2 Reactions
11 Replies
964 Views
Nchimbi ni akili kubwa sana aliposema Watumishi wa Umma siyo maadui wa chama tafsiri yake ametumia hekima ya wazee wanaosema Mkeo akikosea anasemwa chumbani siyo hadharani,Kuku wako Manati ya nini...
1 Reactions
2 Replies
386 Views
Rejea thread niliyoanzisha ikisema, Waziri wa Nishati anafanya nini kikaoni wakati Nchi Iko gizani?- Rabbon. Hoja ya thread hapo juu ililenga kuuulizia ilipo nafasi ya waziri wa Nishati ambayo...
8 Reactions
121 Replies
5K Views
Chama cha mapinduzi CCM toka kimeanzishwa hakina utamaduni wa kuvuliwa nguo, hata babu zetu waliotangulia katika makaburi ya uko ginigi wanalijua ilo. Ukumbi wa Chimwaga Dodoma una historia...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Yule jamaa mwandishi wa habari wa kwanza wa BBC swahili na hakika ndiyo alistahili kuwa rais wa nchi hii sio huyu mnaomsema ninyi kwanza mnaomsema ninyi ni mwasisi wa haya yote kwanza waTanzania...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Aliyekuwa Meya wa Ubungo mh Boniface Jacob amemlilia mzee Lowasa na kusema " Rafiki wa kweli, Jabali la Siasa za Tanzania leo amelala" Jacob amesema alibahatika kufanya KAZI na Mzee Lowassa na...
1 Reactions
6 Replies
737 Views
Je, hao watu ni masikini sana kiasi kwamba hawajaunganisha umeme majumbani kwao au ni nini? Kwasababu mtu mwenye akili timamu hawezi kwenda kushabikia mikutano ya watu waliofeli.
16 Reactions
25 Replies
1K Views
Hatimaye Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewaandikia barua aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe, na aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu, Dk. Kitila Mkumbo, ambao wiki iliyopita...
17 Reactions
563 Replies
76K Views
Nimeona niliweke hili ili kuondoa sintofahamu inayozunguka nchini Tanzania kwa sasa. Hakuna haja yoyote ya mtu yeyote kupanic kwa sababu yeyote ile . CHADEMA ni kama Jeshi, hakuna kamanda yeyote...
22 Reactions
75 Replies
6K Views
Hili ni swali tu kwa wale wanaohusika na Utoaji wa vibali vya Maandamano Kama ni kero wote tumeshuhudia Makonda akizikusanya na kama ni sheria za Uchaguzi Chadema walishapeleka malalamiko yao UN...
0 Reactions
6 Replies
589 Views
Mfano mdogo leo hii Makonda, anazunguluka nchi nzima, kuwauliza watu matatizo yao, matatizo ambayo yamesababisha na serikali , serikali ambayo inasimamiwa na chama chao, yani mfano. Wake ,mwizi...
5 Reactions
20 Replies
979 Views
HOTUBA YA NYERERE NA VIONGOZI WA DINI TABORA 27/7/70 Key Take Away: NCHI ya Tanzania / TANU hazina Dini; Wananchi ndio Wana Dini... Kichama / TANU Hatujui kama Mungu yupo au hayupo (Hatuulizani)...
1 Reactions
45 Replies
3K Views
Humu JF uko ushahidi wa video ya Makonda akimkoromea Chongolo , wakati huo Chongolo akiwa na cheo cha chini na Makonda akiwa RC au DC. Sasa angalia sarakasi zake za sasa , Hivi huyu jamaa...
10 Reactions
55 Replies
4K Views
Ni ushahidi kwamba hakuna demokrasia katika nchi hii. Inaonyesha kwamba nchi hii haithsmini demokrasia. People are laughing at democracy. Watu wanataka wakodi mabasi waende Mwanza lakini siyo...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Hapa sasa ndio tutaelewa kama Mahakama ina nguvu kweli au ni porojo tu .
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom