Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"....Biteko huenda akabakia na cheo cha Naibu PM huku Nishati Kalemani akarejeshwa kwa sababu Paul alishamwombea msamaha toka mwaka jana. Si unajua Dk naye alikuwa ana mu-ignore bi mkubwa kipindi...
2 Reactions
11 Replies
964 Views
Nchimbi ni akili kubwa sana aliposema Watumishi wa Umma siyo maadui wa chama tafsiri yake ametumia hekima ya wazee wanaosema Mkeo akikosea anasemwa chumbani siyo hadharani,Kuku wako Manati ya nini...
1 Reactions
2 Replies
386 Views
Rejea thread niliyoanzisha ikisema, Waziri wa Nishati anafanya nini kikaoni wakati Nchi Iko gizani?- Rabbon. Hoja ya thread hapo juu ililenga kuuulizia ilipo nafasi ya waziri wa Nishati ambayo...
8 Reactions
121 Replies
5K Views
Chama cha mapinduzi CCM toka kimeanzishwa hakina utamaduni wa kuvuliwa nguo, hata babu zetu waliotangulia katika makaburi ya uko ginigi wanalijua ilo. Ukumbi wa Chimwaga Dodoma una historia...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Yule jamaa mwandishi wa habari wa kwanza wa BBC swahili na hakika ndiyo alistahili kuwa rais wa nchi hii sio huyu mnaomsema ninyi kwanza mnaomsema ninyi ni mwasisi wa haya yote kwanza waTanzania...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Aliyekuwa Meya wa Ubungo mh Boniface Jacob amemlilia mzee Lowasa na kusema " Rafiki wa kweli, Jabali la Siasa za Tanzania leo amelala" Jacob amesema alibahatika kufanya KAZI na Mzee Lowassa na...
1 Reactions
6 Replies
737 Views
Je, hao watu ni masikini sana kiasi kwamba hawajaunganisha umeme majumbani kwao au ni nini? Kwasababu mtu mwenye akili timamu hawezi kwenda kushabikia mikutano ya watu waliofeli.
16 Reactions
25 Replies
1K Views
Hatimaye Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewaandikia barua aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe, na aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu, Dk. Kitila Mkumbo, ambao wiki iliyopita...
17 Reactions
563 Replies
76K Views
Nimeona niliweke hili ili kuondoa sintofahamu inayozunguka nchini Tanzania kwa sasa. Hakuna haja yoyote ya mtu yeyote kupanic kwa sababu yeyote ile . CHADEMA ni kama Jeshi, hakuna kamanda yeyote...
22 Reactions
75 Replies
6K Views
Hili ni swali tu kwa wale wanaohusika na Utoaji wa vibali vya Maandamano Kama ni kero wote tumeshuhudia Makonda akizikusanya na kama ni sheria za Uchaguzi Chadema walishapeleka malalamiko yao UN...
0 Reactions
6 Replies
589 Views
Mfano mdogo leo hii Makonda, anazunguluka nchi nzima, kuwauliza watu matatizo yao, matatizo ambayo yamesababisha na serikali , serikali ambayo inasimamiwa na chama chao, yani mfano. Wake ,mwizi...
5 Reactions
20 Replies
979 Views
HOTUBA YA NYERERE NA VIONGOZI WA DINI TABORA 27/7/70 Key Take Away: NCHI ya Tanzania / TANU hazina Dini; Wananchi ndio Wana Dini... Kichama / TANU Hatujui kama Mungu yupo au hayupo (Hatuulizani)...
1 Reactions
45 Replies
3K Views
Humu JF uko ushahidi wa video ya Makonda akimkoromea Chongolo , wakati huo Chongolo akiwa na cheo cha chini na Makonda akiwa RC au DC. Sasa angalia sarakasi zake za sasa , Hivi huyu jamaa...
10 Reactions
55 Replies
4K Views
Ni ushahidi kwamba hakuna demokrasia katika nchi hii. Inaonyesha kwamba nchi hii haithsmini demokrasia. People are laughing at democracy. Watu wanataka wakodi mabasi waende Mwanza lakini siyo...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Hapa sasa ndio tutaelewa kama Mahakama ina nguvu kweli au ni porojo tu .
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimeona mambo yanakua mengi sana viongozi wengi wa CCM wanapotezea kero za kila siku. Katika machaguo yangu naona zitto kabwe nchi inamfaa
0 Reactions
9 Replies
598 Views
Ninatarajia kununua dhahabu ya Tshs.500 millioni na kuiweka kama fixed deposit katika Benki yeyote tutakayokubaliana nayo. Je huu utaratibu unakubalika?. Na je huu utaratibu una madhara...
2 Reactions
1 Replies
586 Views
MBUNGE CHEREHANI - KATA 11 JIMBO LA USHETU KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI WA ZIWA VICTORIA Mbunge wa jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia...
0 Reactions
0 Replies
753 Views
Waziri wa Uchumi na Mbunge wa Ubungo amewatangazia Wapigakura wake Kuwa kupitia Tanroads wamesaini mkataba wa Ujenzi wa barabara ya Kimara- Mavurunza-Bonyokwa-Kinyerezi na Kampuni ya Nyanza Prof...
1 Reactions
7 Replies
906 Views
Salaam,Shalom. Matatizo ya Wananchi ni ya kimfumo, hivyo chama Cha MAPINDUZI CCM kisipoteze muda kujaribu kuhadaa wananchi kuwa kinaweza kutatua kero za wananchi katika ziara majukwaani kana...
2 Reactions
6 Replies
575 Views
Back
Top Bottom