Kigoma: Soko la mitumba linateketea kwa moto

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,115
Soko kubwa linaloitwa Soko la Mitumba linalopatikana Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma linateketea kwa moto usiku huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijajulikana.

Tayari Jeshi la Zimamoto na uokoaji limefika eneo la tukio na kushirikianana baadhi ya Wananchi kuokoa mali na kuzima moto kwenye Soko hilo ambalo linauza zaidi mitumba na kuna maduka pia ya bidhaa nyingine mbalimbali.

Chanzo: Ayo Tv
 
Mbuyuni ~Moshi Limeungua February Hii
Soko La Mitumba ~Ujiji Kigoma Limeungua February
Linalofuata Sasa
 
Sjui Kwa nn watu wanapenda kuvaa mitumba wakat mchina kajaa ulimwenguni kote
 
Soko kubwa linaloitwa Soko la Mitumba linalopatikana Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma linateketea kwa moto usiku huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijajulikana.

Tayari Jeshi la Zimamoto na uokoaji limefika eneo la tukio na kushirikianana baadhi ya Wananchi kuokoa mali na kuzima moto kwenye Soko hilo ambalo linauza zaidi mitumba na kuna maduka pia ya bidhaa nyingine mbalimbali.

Chanzo: Ayo Tv
Ukisikia ugaidi dhidi ya raia ndo huu. Serikali ya CCM haijawahi kuwa serious na huu uchomaji moto wa masoko.

Utasikia BONGE fulani anafyatuka, Tumeunda kamati maalumu kufuatilia chanzo cha moto huo......

Hasara wanakula wananchi na hawana mitaji mizuri. Hivyo tukiipiga CCM chini tutakuwa na uhakika wa usalama wetu
 
Soko kubwa linaloitwa Soko la Mitumba linalopatikana Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma linateketea kwa moto usiku huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijajulikana.

Tayari Jeshi la Zimamoto na uokoaji limefika eneo la tukio na kushirikianana baadhi ya Wananchi kuokoa mali na kuzima moto kwenye Soko hilo ambalo linauza zaidi mitumba na kuna maduka pia ya bidhaa nyingine mbalimbali.

Chanzo: Ayo Tv
Uvccm wanapiga kazi sana yaana wakianza kuchoma masoko hakuna kulala
 
Hapo kuna uwezekano mkubwa watu wanaondolewa kwa style
Hao sijui kama watarudi hapo

Ova
 
Back
Top Bottom