chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 12,003
- 20,681
Akitoa hotuba yake, Sheikh Muharam Mziwanda amedai kwamba Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena bandarini.
Kama ni kweli, je ujio wa DP unaenda kukata mirija ya hawa ndugu? Kuna tetesi kwamba maelfu ya makontena hupitia jina la kanisa hili kwa lengo la kukwepa Kodi.
Je kanisa linachepushaje makontena? Wanahofia kwamba DP Sasa inaenda kuwabana kwa sababu watakuja na teknolojia?