Vyama vya Siasa vimepoteza "Mvuto" wa Kiitikadi. Sasa vimebaki kubebwa na Watu Wenye Mvuto Binafsi mfano Makonda na Lissu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Ni Ukweli ulio wazi Ule Mvuto wa Kitaasisi kwenye vyama vya Siasa haupo tena na sasa vyama vinatembelea Nyota za " Mashariki" za Watu binafsi

Kwa sasa Makonda ndiye CCM na Tundu Antipas Lisu ndiye Chadema

Alipotwaliwa Maalim Seif na ACT Wazalendo ndio wanamalizia kutembelea Nyota yake baada ya 2025 inabidi watafute mwanachama mwingine mwenye Nyota inayong'aa awaletee Mvuto

Jumaa Mubarak 😀
 
Kwanza Lissu huwezi kumlinganisha na kichaa, Lissu anahutubia mabunge makubwa duniani siyo huyu chizi kutwa anatukana watu barabarani
Sasa akihutubia mabunge makubwa ndiyo akili hiyo ? inasaidia nini ? Makonda yupo hapa nchini anajaribu kuzungumzia shida za watu
 
We ni mjinga sn, maza mwenyewe hajawahi kuitwa kwenye hayo mabunge, anazungumzia shida za watu na huku kuna RC/RAS/RSO/DC/DAS/DSO/DED/Mbunge/wakuu wa idara na watendaji wengine ndani ya Mkoa husika wanafanya nini? ni mpumbavu wa kushangalia hiki kitu, unashindwa nini kutengeneza mifumo ya kujisimamia yenyewe? kwamba kila mwenye shida kwenye mtaa/kijiji amsubiri Makonda? huna akili wewe. Hao niliowataja wanalipwa mamilioni pamoja na posho nono kwa kazi gani?
 
Ni Ukweli ulio wazi Ule Mvuto wa Kitaasisi kwenye vyama vya Siasa haupo tena na sasa vyama vinatembelea Nyota za " Mashariki" za Watu binafsi

Kwa sasa Makonda ndiye CCM na Tundu Antipas Lisu ndiye Chadema

Alipotwaliwa Maalim Seif na ACT Wazalendo ndio wanamalizia kutembelea Nyota yake baada ya 2025 inabidi watafute mwanachama mwingine mwenye Nyota inayong'aa awaletee Mvuto

Jumaa Mubarak 😀
Sahihi
 
Tayari wanaye OMO
P
 
1. Makonda ni takataka, hana mvuto wowote. Watu wanategemea kupata ahueni kwa ukomedi wake, akiondoka kila kitu kinaishia hapa.
2. Wewe kama si mnafiki, power of thiking ni ndogo. Mvuto unaupimaje? Vigezo ni vipi? Weka tume huru tuone nani ana mvuto...that could be one of the criteria!
 
Ni Ukweli ulio wazi Ule Mvuto wa Kitaasisi kwenye vyama vya Siasa haupo tena na sasa vyama vinatembelea Nyota za " Mashariki" za Watu binafsi

Kwa sasa Makonda ndiye CCM na Tundu Antipas Lisu ndiye Chadema

Alipotwaliwa Maalim Seif na ACT Wazalendo ndio wanamalizia kutembelea Nyota yake baada ya 2025 inabidi watafute mwanachama mwingine mwenye Nyota inayong'aa awaletee Mvuto

Jumaa Mubarak 😀
Mzee John mbatizaji leo umeamua kubatizia matopeni kama sio madimbwini!

Unajua fika CCM ndio yenye wabunge asilimia 99.9% bungeni, asilimia 99.7% ya madiwani katani, wenyeviti asilimia 98.9% vijiji na mitaani, asilimia 100% bunge la Afrika Mashariki na Rais wa mabunge duniani!!!!

Kwenye ziara ya makonda, inalalamikiwa serikali na CCM, hakuna mahali upinzani umelalaikiwa hata kwa tetesi ya tuhuma,!!!

Upinzani kuandamana tu lilikuwa zogo hadi kutaka kuingiza jeshi, hapo upinzani umefifia mvuto kivipi???

John, hata kama kuna mgao wa maji, tafuta maji safi hata ya kisima ukabatize vizuri, sio namna hii, madimbwini!!!
 
lissu1-jpg.2896687

Tundu Tantramic Lissu.

Hebu fikiria, ikitokea ndio kashika Nchi halafu BBC wamwambie, 'Mzee Laigwan' due to an avoidable circumstances we unable to go ahead with the Interview as Schedule, we apologise.

Heh, ndio watajua hawamjui.

Huyu anaweza kwenda London na fedha za kodi ya Mtanzania kwa ubabe ubabe wake. Kwa kweli mshaurini vizuri.

Mbowe nasikia, kanyanyua simu tu?
 
Ni Ukweli ulio wazi Ule Mvuto wa Kitaasisi kwenye vyama vya Siasa haupo tena na sasa vyama vinatembelea Nyota za " Mashariki" za Watu binafsi

Kwa sasa Makonda ndiye CCM na Tundu Antipas Lisu ndiye Chadema

Alipotwaliwa Maalim Seif na ACT Wazalendo ndio wanamalizia kutembelea Nyota yake baada ya 2025 inabidi watafute mwanachama mwingine mwenye Nyota inayong'aa awaletee Mvuto

Jumaa Mubarak
Na huyu je?
20240209_070737.jpg
 
Sasa akihutubia mabunge makubwa ndiyo akili hiyo ? inasaidia nini ? Makonda yupo hapa nchini anajaribu kuzungumzia shida za watu
Huo ufala peleka kwenu, kuzungumzia shida walizoleta wao halafu hakuna ufumbuzi hiyo nayo akili?
Hivi nyie maccm vichwani kuna ubongo au funza? Hili nalo la kujadili?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
We ni mjinga sn, maza mwenyewe hajawahi kuitwa kwenye hayo mabunge, anazungumzia shida za watu na huku kuna RC/RAS/RSO/DC/DAS/DSO/DED/Mbunge/wakuu wa idara na watendaji wengine ndani ya Mkoa husika wanafanya nini? ni mpumbavu wa kushangalia hiki kitu, unashindwa nini kutengeneza mifumo ya kujisimamia yenyewe? kwamba kila mwenye shida kwenye mtaa/kijiji amsubiri Makonda? huna akili wewe. Hao niliowataja wanalipwa mamilioni pamoja na posho nono kwa kazi gani?
Tuseme tuu kwa kufupisha maneno huwa hawa wafuasi wa kijani ni wajinga. Full stop

Back
Top Bottom