Meya mstaafu Jacob: Lowassa ni Jabali na Shule ya Uongozi iliyokuwa inatembea, ni Muungwana asiye na mfano!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,028
Aliyekuwa Meya wa Ubungo mh Boniface Jacob amemlilia mzee Lowasa na kusema " Rafiki wa kweli, Jabali la Siasa za Tanzania leo amelala"

Jacob amesema alibahatika kufanya KAZI na Mzee Lowassa na amejifunza mambo Mengi kutoka Kwake

Mzee Lowassa ni Shule ya Uongozi iliyokuwa inatembea, amemalizia ex mayor Jacob kwa uchungu Sana

Naye mbunge wa Viti Maalum mh Halima Mdee amemtaja mzee Lowasa kama " Kiongozi"

Esther Bulaya amesema Mzee Lowassa alikuwa Baba

RIP mzee Lowasa
 
Na mmoja wa wanasiasa mabilionea sipati picha maandalizi ya sherehe ya maziko yake watajaa mabilionea wengi sana hata rostam atakuwepo.
 
..Joseph Kasheku Msukuma atahudhuria ktk msiba wa Lowassa?

..Hakuna mwana-Ccm alimdhalilisha Lowassa kwa matusi makubwa kama Msukuma
 
Back
Top Bottom