TFF na vilabu vya mpira utoa official pole kwa wanamichezo tu. Lakini mpira siyo jambo linaweza kutengwa na siasa au jamii. Niwakumbushe wanamichezo kutoa salamu za pole kwa Lowasa na kuendelea na...
Ilikuwa Septemba 28, 2015 akiwa uwanja wa Samora mkoani Iringa Nape Nnauye ikimfungia 'Turbo' ya maneno makali aliyekuwa mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa dhidi ya mgombea wa...
Mwakyembe yupo Pale Kyela Mbeya, leo ni siku ya tatu Dr. Slaa anajisaidia kwenye Ndoo akiwa Korokoroni viunga vya Polisi kati Mbeya. Lakini rafiki yake kipenzi hajamtembelea hadi leo.
2015 wakati...
Unaambiwa Joto la Maandamano ya Amani ya tarehe 15 /02/2024 yatakayofanyika Jijini Mwanza limepanda kwa kiasi ambacho Vipima joto vimeshindwa kulisoma.
Taarifa za sasa zinadokeza kwamba wadau...
Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo amefariki leo Januari 29, 2024 katika Hospitali ya Mloganzila, Dar es Salaam, maziko yanatarajiwa kufanyika Januari 31, 2024, Same.
Bahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa. Mwenezi unadai kuna watu wanataka kukuua. Tena si upinzani Bali ni CCM. Unakichafua chama chako mwenyewe kuwa na wauaji
Sasa nakutonya, uko kwenye...
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa Kamati ya Siasa na Diplomasia (Inter-State...
Je,utaunga mkono uamuzi wowote wa kumfanya Lowassa awe mgombea uraisi kwa ticket ya CHADEMA/UKAWA endapo uamuzi huo utafikiwa?
Jibu Ndio/Hapana/Sijui
Kura hii inawahusu Pro-UKAWA wote na...
Mheshimiwa Rais Samia ameonekana mara kadhaa akiwatembelea viongozi wakuu wastaafu mbalimbali majumbani mwao au kukutana nao Ikulu kwa mazungumzo na kubadilishana uzoefu wa masuala kadhaa ya...
MAJALIWA AMUWAKILISHA RAIS SAMIA KUMJULIA HALI LOWASSA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwakilisha Dkt. Samia Suluhu Hassan kumjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Edward Ngoyai Lowassa...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Paul Makonda Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara ,Jabali la siasa,mtetezi na Sauti ya wanyonge ametoa...
Wanabodi,
Wale wenye access na ITV, lets watch part II ya Mahojiano ya Waziri Mkuu wetu mstaafu kwa kujiuzulu, Edward Lowassa kwenye kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na ITV kuanzia saa 3:00...
Rais Jakaya Kikwete amesema anashangazwa na Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu kumtaka amtaje mhusika wa Richmond wakati mwenye Richmond yupo na anatembea naye mikoani.
Kikwete aliyasema hayo...
Ni msemo, kwenye maisha, ukiona watu wako wa karibu mliokuwa pamoja tangu enzi za ujana na utafutaji na struggle za kutoboa kwenye maisha wanadondoka kwa mfululizo Jua muda sio rafiki
and it...
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametangaza rasmi nia yake ya kugombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 huku akisisitiza kuwa kwa vyovyote vile...
Karibu!
Katika uzi huu tujadili yanayojiri moja kwa moja ziara za Muenezi Taifa Ndugu Paul Makonda. Tuanze na Makambako alipokuwepo siku ya jana 09 /02/2024.
Wanabodi,
Nimekaa mahali jioni na watu fulani, baada ya mazungumzo haya na yale, jina la EL likaibuka, ikaelezwa kuwa EL is more powerful than JK and that no one can do anything to him. He...
Unaweza usiione pweinti hapo Lakini mjue kuna Baadhi ya Viongozi hupendelea kupeleka Fursa Kwao na Changamoto kuwapelekea Wengine
Chadema badilikeni kama kweli mnatamani kukamata au kuongoza nchi...
Just imagine
Nchi Ina miaka 62 ya uhuru Bado Inagawa umeme kwa wananchi. Wewe mtanzania mwenzangu unayepiga kura kuchagua majitu yanayojiita viongozi. Hivi unaonaje? Kweli hii ni Sawa kugawiwa...
Akihojiwa katika kituo cha runinga TBC 1, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameulizwa kuhusu kiongozi mkubwa waliokataa wito na kwenda kupima DNA baada ya kudaiwa kutelekeza mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.