Double standards mpk kwenye mizani!! Ngoja mpka kesho waziri muhusika atakuwa ameshalipokea...na kitakachofuata ni utekelezaji tu.
Dah ndo nchi yetu hii rushwa kila sehemu... Hapo mamlaka zikiingilia kati utasikia mzani mbovu
Hawa watumishi wa namna hiii ni wa kufukuza kabisa serikali
Pole sana ndugu ktk kitu kinatusumbuwa ni hili swala la Mizani, sisi tulio kwenye hiyo sekta ya usafirishaji tunalitambua hili unalolisema na hao jamaa wamejivika utakatifu flani kwamba hawakosolewi na hata hizo number wameweka hapo ofisini kwao hazina msaada wowote. Na ukiwapeleka kwenye mamlaka nyingine utajibiwa hao ni Kitengo kinacho jitegemea hakifungamani na upande mwingine basi unaishia kuilipa faini yao huku unanungunika mwenyewe.