Waziri Kombo: Raia akimrushia jiwe Polisi, general order yake inamwambia 'Attack first'

Emmanuel kant

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2026
Posts
236
Reaction score
676
Wakuu Jana bungeni Waziri wa diplomasia na mambo ya nje Kombo raia wa Zanzibar anayefanya kazi Tanganyika amesema katiba yetu inataka polisi akirushiwa jiwe ampige risasi haraka raia anayerusha na kilochotokea Oct 29 ni cha kikatiba Yale mauaji yalfanyika kwa sababu polisi walirushiwa mawe.

Huyu bwana alionekana akishangilia na kupiga makofi Samia alipokuwa anamwambia ruto washirikiane kucharaza viboko gen Z
IMG_20260527_162939.jpg
 
Binafsi shule za boys miaka ile ilikuwa kawaida kufanya migomo na pindi polisi walipofika wanafunzi waliwarushia mawe ajabu sikuona wakijibiwa kwa kuchapwa risasi za kichwa zaidi ya polisi kupiga juu wanafunzi watawanyike
 
Bila shaka Waziri Kombo anataka police waige wanajeshi wa Israel (IDF) maana wale IDF wakirushiwa mawe na wapalestina wao wanajibu kwa risasi za moto au mabomu.

Kuna siku nimemuona Waziri Kombo yupo na mwakilishi wa Palestina hapa Tanganyika. Ni matumaini yangu kuwa hatakuwa na malalamiko yoyote tena akiona wapalestina wakitandikwa risasi au mabomu kwa kuwarushia mawe wanajeshi wa IDF., maana ameona ni sawa kwa police wa Tanzania kupiga raia risasi za moto kwa kurushiwa mawe.
 
Wakuu Jana bungeni Waziri wa diplomasia na mambo ya nje Kombo raia wa Zanzibar anayefanya kazi Tanganyika amesema katiba yetu inataka polisi akirushiwa jiwe ampige risasi haraka raia anayerusha na kilochotokea Oct 29 ni cha kikatiba Yale mauaji yalfanyika kwa sababu polisi walirushiwa mawe.

Huyu bwana alionekana akishangilia na kupiga makofi Samia alipokuwa anamwambia ruto washirikiane kucharaza viboko gen Z
Akili yake itakuwa haina hiyo akili.zaidi ya kuwa Mtoto waMareheme Sheikh Thabit Kombo
 
Bila shaka Waziri Kombo anataka police waige wanajeshi wa Israel (IDF) maana wale IDF wakirushiwa mawe na wapalestina wao wanajibu kwa risasi za moto au mabomu.

Kuna siku nimemuona Waziri Kombo yupo na mwakilishi wa Palestina hapa Tanganyika. Ni matumaini yangu kuwa hatakuwa na malalamiko yoyote tena akiona wapalestina wakitandikwa risasi au mabomu kwa kuwarushia mawe wanajeshi wa IDF., maana ameona ni sawa kwa police wa Tanzania kupiga raia risasi za moto kwa kurushiwa mawe.
Kombo alikuwa anapiga makofi Samia akisema vijana wachapwe viboko, kumbe alikuwa anashangilia vijana wauawe
 
Back
Top Bottom