Sielewi kuhusu 5000 years civilization ya wachina, wahindi, arabs, persians &co.!

Sielewi kuhusu 5000 years civilization ya wachina, wahindi, arabs, persians &co.!

Status
Not open for further replies.

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,416
Reaction score
17,731
Sijawahi kuelewa hii inayosifiwa sana na kuitwa 5000 years of continous civilization ya wachina au siju persians, swali langu ni kwamba how come chinese hawajawahi kuunda gari, tv, simu, umeme kama tuuajuavyo leo hii, hawajawahi kwenda space, hawajawahi kuunda rocket, missiles, microscopes, electrical appliances, micro chips, hawajawahi kuwa na manufacturing industries.

Chinese au sijui persians hawajawahi kuunda trains, hawakuanzisha internet, hawakuelezea khs genetics, DNA, genes and chromosomes, blood groups, hawakuanzisha chemical plants, aspirin, hawakujenga oil refineries, nguo kama jeans, suits, boxer shorts, hawakuwa na research universities, college na high schools.

Hiyo civilization yao ya miaka 5000 ni ya nini na walikuwa wanafanya nini? binafsi siamini kama ni kweli mambo mengi yanadanganywa hasa ya kihistoria kwa maana chinese, arabs, afrikans, indians, asians bila ya western Christian capitalistic system walikuwa dirt poor and uncivilized …
 
Dynasties zilikuwepo kweli haswa china, japan na india, hapo uarabuni kulikuwepo na communites ndogo ndogo.

Ila tukija swala la civilization ni hado hapo western and christiaan models zilipokuja hapo ndio jamii zikastarabika kwa kiasi kikubwa sana.

Hata europe yenyewe haikuwa na civilized kwa kipindi flani hadi hapo mageuzi ya dini, teknoolojia na jamii yalipokuja, haswa ukristo ulipoingia. Mfano wakristo ndio walikuwa wa kwanza kupinga mapigano ya kuaana kwenye coloseums.

Na hata kama jamii hizii hazikuchukua ukristo na umugharibi asilimia mia ili mienendo yao mipya ilikuwa influenced na western culture ndipo haki na amani zilipoingia katika jamii hizi.

Hadi hapo muddy aliopfika na majeshi yake kutaka kurudisha watu nyuma, alikuta vijiji vya uarabuni wakristo na wayahudi wanaishi kwa amani ila akaamulu wauliwe. Kabla ya mudy hapo uarabuni na jamii zake palikuwa kituo cha ufumbuzi mwingi sana.
 
Sijawahi kuelewa hii inayosifiwa sana na kuitwa 5000 years of continous civilization ya wachina au siju persians, swali langu ni kwamba how come chinese hawajawahi kuunda gari, tv, simu, umeme kama tuuajuavyo leo hii, hawajawahi kwenda space, hawajawahi kuunda rocket, missiles, microscopes, electrical appliances, micro chips, hawajawahi kuwa na manufacturing industries.

Chinese au sijui persians hawajawahi kuunda trains, hawakuanzisha internet, hawakuelezea khs genetics na genes and chromosomes, blood groups, hawakuanzisha chemical plants, aspirin, hawakujenga oil refineries, nguo kama jeans, suits, boxer shorts, hawakuwa na research universities, college ana universities.

Hiyo civilization yao ya miaka 5000 ni ya nini na walikuwa wanafanya nini? binafsi siamini kama ni kweli mambo mengi yanadanganywa hasa ya kihistoria kwa maana chinese, arabs, afrikans, indians, asians bila ya western Christian capitalistic system walikuwa dirt poor and uncivilized …
Si bora hao wachina
Nyinyi wana waafrika ni very useless, hakuna lolote la muhimu mlilochangia kuleta maendeleo duniani
 
Kila jamii inamchango wake kwenye hii sayansi ya leo sio hao wazungu tu wameibuka na kufanya

Jielimishe kwanza ndugu kondoo

Upi huo wa chinese au muslims? nitajie technolojia walioanzisha leo hii, kwanza hata oil exploration ya gulfs bila ya western capitalistic technology isingewezekana, kwa nini muslims au chinese au sijui persians hawakuchimba oil miaka yote 5000 ya “ civilization” yao? …
 
upi huo wa chinese au muslims? nitajie technolojia walioanzisha leo hii, kwanza hata oil exploration ya gulfs bila ya western Christian technology isingewezekana, kwa nini muslims au chinese au sijui persians hawakuchimba oil miaka yote 5000 ya “ civilization” yao? …
Barut, compass karatas ulianzisha ww na bibi yako?
 
Hiyo civilization yao ya miaka 5000 ni ya nini na walikuwa wanafanya nini? binafsi siamini kama ni kweli mambo mengi yanadanganywa hasa ya kihistoria kwa maana chinese, arabs, afrikans, indians, asians bila ya western Christian capitalistic system walikuwa dirt poor and uncivilized …
Jitahidi uelimike vizuri kabla ya kuwa na conclusions za aina hii.
 
Umelipata bom frshy eeh? Kakaangu eli -DEFIANT- cohen wanyooshe kabisa hawa mbuzz🤣
😁😁

Wanatengeneza akaunti kwa ajili yangu.

Wanatengeneza akaunti kufuata majina ya vidume wengine kama chizi maarifa

Kuna mwingine hadi ameweka picha yangu kwa profile yake

Hio yoote ku-prove traits za ushoga maana wanawashwa washwa wanionapo

Hawa wote ni mafans wangu na wanajua hilo😁😁

Jina lao jipya ni WAFITOMBO (WAFIRW÷÷÷J)

Chizi Maarifa
secretarybird
 
Upi huo wa chinese au muslims? nitajie technolojia walioanzisha leo hii, kwanza hata oil exploration ya gulfs bila ya western Christian technology isingewezekana, kwa nini muslims au chinese au sijui persians hawakuchimba oil miaka yote 5000 ya “ civilization” yao? …
Akili zako ndogo na elimu huna , nyie ndio brainwashed .

Karatasi wamegundua Wachina , hapo Baghdad Iraq ndio ilikuwa center ya uvumbuzi na tafiti za kisayansi Duniani kuanzia hesabu , madawa , Elimu ya anga nk

Na walivyogundua ndio vimeacha msingi wa sayansi na gunduzi za Leo
 
Mjadala mzuri ila mmeshaweka mambo ya dini nakuanza kubishania udini na kila mtu anatetea dini kwasababu anaiamini dini hiyo!, hapo ndipo dosari kubwa lilipoingia
Jambo lolote zuri yakiingia mambo ya udini linakuwa la hovyo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom