Namba moja na mbili hawapeani mikono; Ndio kama inavyosemwa AU ni dini?

Namba moja na mbili hawapeani mikono; Ndio kama inavyosemwa AU ni dini?

Mbepo yamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2012
Posts
1,400
Reaction score
2,133
Kama ni dini mbona alimpa mkonio Putin?ZILONGFA NA ZITENDA



Samia mkono.jpg
 
Gloves 🧤 itapendeza sana !
Ni vitu vya kawaida tu !
Ila Waswahili watasema tu ! Anatuonaje mpaka anatuvalia glovu ?!! 🤣

Vijineno neno ni kawaida yetu huku Uswahilini kwetu !
Au nasema uongo ndugu zanguni wa huku kwetu ??!! 😁👍🤪
 
Back
Top Bottom