Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,342
- 283,377
Kwa Tuhuma za kukihujumu CHAMA kwa kushirikiana na Watu wa nje ya CHADEMA (CCM)
Amekirudisha CHAMA nyuma sana kwa hujuma zake za kizushi
Labda kwa wasiomjua Said ni hivi, huyu ni Mtu Duni aliyeokotwa na Chadema ili kutimiza matakwa ya katiba ya Nchi inayotaka kila CHAMA kiwe na wanachama pande zote za Muungano, alipewa cheo kikubwa kilichokuja kubadilisha maisha yake (Bottom Up), hatimaye muda wake ukaisha CHAMA kikabadilisha uongozi kwa Mujibu wa Katiba
Alikuja Chadema na kandambili akanunuliwa suti na Skuna, haya yote akayasahau na kuamua kukata mkono uliomlisha, ujinga mtupu!
Huyu hafai na anapaswa kutimuliwa haraka sana aende kwa waliomtuma