Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Unakutana paap na mbunge wa ccm halafu unamnongoneza Kwa karibu ili mtu yeyote asisikie wewe ni jizi la kura atakufanya nini? Na hakuna shahidi aliyesikia maneno hayo ya kizalendo?
2 Reactions
6 Replies
108 Views
Rais, nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pole na Kazi nzito ya kuliongoza Taifa letu pendwa hili la Tanzania. Mambo ni mengi sana ya kuendelea kusemezana na wewe kupitia...
29 Reactions
150 Replies
6K Views
Jamani naomba sana kwa wale ambao hamtaki maandamano msitutukane sisi ambao tunataka kuandamana kwa ajili ya haki na uhuru wetu. Ninyi mmeshasema mtatuua sasa mtuache basi tuendelee na kupanga...
3 Reactions
5 Replies
150 Views
Utawala wa hayati JPM ulifanya kazi kwa ufanisi na uliweza kuwaridhisha wananchi kuwa upo makini na ulijali maslahi ya wananchi. Idara ya usalama taifa ilikuwa karibu na wananchi. Ndio maana hata...
3 Reactions
17 Replies
290 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akitoa salamu za rambirambi katika msiba wa aliyekuwa dereva wake, Suez Maradufu, leo, Julai 5, 2026. amesema chama chao kina mashaka na kifo cha dereva...
6 Reactions
26 Replies
785 Views
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Tanga, Rashid Jumbe Hamza, amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), akieleza kuwa ameridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo chini ya uongozi wa...
0 Reactions
9 Replies
187 Views
Ila wanasiasa wanatabia zinazofanana, kwa msemo rahisi ule Mwl Nyerere Mwanasiasa malaya malaya tu! ========== Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mchungaji Peter Msigwa...
2 Reactions
9 Replies
191 Views
Amani ya Bwana iwe juu yenu waungwana. Hili jambo la ufisadi nchini ni nadra sana kusikia uhusika watu toka Zanzibar najaribu kuvuta kumbukumbu ya matukio makubwa ya kifisadi yaliyowahi...
3 Reactions
17 Replies
278 Views
Ama kwa hakika mmesimama vema na imara kwenye nafasi yenu, na mnatekeleza wajibu wenu wa kikatiba kwa weledi wa kiwango cha juu sana na kisasa zaidi. waTanzania wana imani kubwa na utendaji kazi...
2 Reactions
36 Replies
399 Views
Mwanachama wa JamiiForums, Jakamageta amesema Elimu yetu inaharibiwa na siasa, siku hizi tutashindwa kupata Madaktari wanaofanya right diagnosis and treatment. "Hospital wamejaa Incompetent...
4 Reactions
4 Replies
139 Views
Kitendo cha Azam FC kusema kuna upendeleo kwenye ligi ya Tanganyika hivyo wanaona ni bora kuhamisha timu yao na kuipeleka Zanzibar ama kwingineko, ni kama kuitikia wito wa CHADEMA kuhusu haki...
10 Reactions
16 Replies
340 Views
Maxence Melo Kama inawezekana, uwekeeni pin huu uzi ili uweze kubaki juu wakati wote. Ndugu wana diaspora wa Kitanzania, hususan kwenye nchi za Ulaya Magharibi, Scandinavia, Marekani, Canada, na...
35 Reactions
35 Replies
569 Views
Hamjambo wote! Bado natazama mambo kama yalivyo. Je wanaharakati wamekataa tamaa? Je watu wamekataa tamaa ya mapambano? Au wameogopa, wanahofu kutokana na vitisho vya vyombo vya Dola. Mitaani...
5 Reactions
31 Replies
594 Views
Mbunge Sigrada amesema kuwa Tanzania kwa sasa inaendeshwa kwa utawala wa matamko badala ya utawala wa sheria, akisisitiza kuwa misingi ya kisheria ndiyo inapaswa kuongoza maamuzi na utendaji wa...
1 Reactions
0 Replies
72 Views
Mbunge wa Viti Maalum mkoani Njombe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Wilhem Mligo, ameelezea kuumizwa na matukio yaliyojitokeza wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, akitaja...
1 Reactions
10 Replies
225 Views
Paul Makonda na Serikali yake Wamefungia Maandamano Tanzania, lakini ajabu ameenda kuandamana Nchi ya watu tena kapewa Ulinzi. Aliandama huku akitabasamu akifurahia kuandamana. Annatumia...
6 Reactions
28 Replies
793 Views
Sio kwa hawa tu waliokamatwa bali hiki kizazi hata kwenye vyuo vikuu vyote kwa sasa hivi wanatumia Ai kwa kila kitu. Iwe assignment na hata mitihani. Soma Kidato cha 6 wakamatwa wakitumia...
1 Reactions
11 Replies
165 Views
Mmoja wa wananchi waliopata kuongea mbele ya Waziri Mkuu, leo Julai 04, 2026, katika kijiji cha Suguti-Musoma Vijijini, ameeleza kuwa Mwenyekiti wao hakuchaguliwa kwa kura na kuomba serikali ya...
0 Reactions
1 Replies
75 Views
Huyu kwenye picha anaitwa Pendo Kileo ni Mwanachama wa CHADEMA kutoka Kata ya Chamazi.Juzi alitoa taarifa Polisi kituo cha Polisi Chamazi kwamba kuna watu walitaka kumteka, akawambia Polisi kwamba...
5 Reactions
22 Replies
667 Views
Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye amewahi kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Mwanga, Mchome Lemburus, ameiomba Serikali na mamlaka husika kumuachia Mwenyekiti...
1 Reactions
15 Replies
336 Views
Back
Top Bottom