Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kasema Robo tu ! Asee sema yote umekuwa kwa nafasi unayoaminika kuliko sisi anonymous! Na taarifa yako inasambaa zaidi Sema pale Morogoro na Ruhangwa (Ruangwa) gari lililopaki kabla na kuweka...
43 Reactions
176 Replies
12K Views
Hisia zangu zinazonionesha kuwa Kassim Majaliwa Majaliwa anapwaya sana katika timu ya Mama Samia hazijaja bure, bali nimekuwa nikimtazama na kumfatilia sana utendaji wake katika hii miaka miwili...
58 Reactions
314 Replies
31K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, akiwasilisha Bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2025 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2026/27...
0 Reactions
0 Replies
80 Views
Yanayoendelea kwenye Mahakama ya Tanzania ni Aibu kwako binafsi na hata kwa familia yako, wakiwemo wazazi wako, hakuna tofauti na kuzaa mapooza Ni aibu hata ya kijiji alichozaliwa na ni laana...
14 Reactions
31 Replies
502 Views
Haki ni haki, tena haswa inapokuwa ni haki ya kuishi. Hii ni haki maalumu ambayo huambatanishwa na damu. Unapomnyima mtu haki yake ya asili ya kuishi unakuwa umemgusa moja kwa moja yule...
10 Reactions
8 Replies
218 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, akiwasilisha Bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2025 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2026/27...
0 Reactions
1 Replies
106 Views
Akizungumza na wananchi mkoani Mbeya, Jacob amedai chama tawala cha CCM kimeweka mbele chuki na maslahi ya kisiasa na ya mtu binafsi kuliko ustawi wa nchi, akidai kuwa wako tayari kuona nchi...
4 Reactions
10 Replies
325 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, John Heche, amesema; Saidi Issa Mohamed ni mwanachama tu. Sisi tuna wanachama milioni nane. He is not special. Ni mwanachama...
0 Reactions
1 Replies
99 Views
Kwasababu ni wazi kwamba, haamasa na shauku ya vijana kushiriki katika masuala yahusuyo siasa nchini ni kubwa sana, na imechochea kiu ya wengi kuhamasika na kutamani kushishiriki na kutumia haki...
0 Reactions
3 Replies
105 Views
Jamani nawapenda sana.. Nimeamua kuwapa mbinu ya kishinda cheo chochote Tanzania.. Fuata hatua hizi... Msiache kunitumia alkasusu☕ ☕ KAMA UNATAKA KUWA MWANASIASA WA CCM, FUATA HIZI HATUA Hatua...
4 Reactions
7 Replies
184 Views
1 Reactions
3 Replies
152 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara ndugu Amani Golugwa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ofisini kwake. Katika ziara hiyo...
32 Reactions
142 Replies
7K Views
Guys Tusipoteze muda sana. Presidential candidates 2030 washajulikana mpaka muda huu. Sasa itakuwa ni watanganyika kunyoa au kusuka aidha mpokee vipande vya pesa nchi iuzwe au mchague mtu...
10 Reactions
49 Replies
928 Views
Anonymous
Nawapongeza TAKUKURU Wilaya ya Mlele halmashaur ya Mpimbwe kwa kazi kubwa wanayoendelea kuifanya katika kuchunguza tuhuma mbalimbali za ubadhirifu na matumizi mabaya ya rasilimali za umma katika...
0 Reactions
1 Replies
127 Views
BURIANI BABA, RAFIKI NA MZUNGUMZAJI WANGU BALOZI ABBAS KLEIST SYKES Mwezi October 1999 nilikuwa Dubai na nikikaa Carlton Hotel. Siku moja jioni simu yangu ikalia. Walikuwa BBC London Idhaa ya...
44 Reactions
315 Replies
29K Views
Nchi zilizoendelea hutamani kuwa na watu wa akili kama ya Lissu, akili ya kusaidia kuandika mikataba, akili ya kuandika Katiba akili ya kurekebisha ubora wa sheria. Hii akili anaijua Anna...
10 Reactions
36 Replies
482 Views
Naomba nianze kwa kusema kwamba Nchi ya Tanzania haina Udini. Salaam wakuu, Rais Magufuli, katika teuzi zako usimsahau jicho la Vijana Saada Mkuya Salum Mwasisi wa Uchumi wa kati Saada Mkuya...
3 Reactions
96 Replies
9K Views
Tunakiwanja chetu . Tuna doc zote lililipia hati toka 2019 tukawa tunafuatilia hati tunaambiwa file letu halionekani 2024 tukaenda kuchukua kibali cha ujenzi ili tuanze kujenga tukapewa kibali...
6 Reactions
24 Replies
525 Views
Ni obvious, upinzani Tanzania kuhusu urais, watausikia tu kwenye bomba tu, kwasababu, kwanza hawana mgombea mwenye kaliba ya urais, lakini pia, hawana agenda zenye kugusa maisha halisi ya wa...
0 Reactions
14 Replies
179 Views
My Take Jarida Maarufu la Habari za Intelijensia na Usalama Afrika "The African Report" limechapisha habari hii kuhusu Wakuu wetu. Kama sio ukweli na chokochoko za kibeberu kutia chumvi basi ni...
7 Reactions
16 Replies
521 Views
Back
Top Bottom