Habari za wakati huu?
Kwanza nianze kwa kusema kwamba mimi binafsi nilikuwa muumini mkubwa kabisa wa sera za Magufuli lakini nilikuwa mkosoaji mkubwa sana wa Mtindo wake wa uongozi.Kama mdau wa...
Lowassa kaondoka. kaenda zake akitupa mda wa kuangalia alimopita
Ameonewa sana na kaonea na kila mtu
Tulimfitini ili tupate tulichotaka wakati tulipokitaka
lakini yeye alibaki yule yule wa...
Napendekeza serikali ya Tanzania ichukue hatua katika haya mapendekezo yangu.
1. Napendekeza serikali ya JMT itoe visa free kwa raia kutoka India, China, Japan na Korea
- katika mchakato wa visa...
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema hayati Lowasa alikuwa mtu mwenye Upendo, Muungwana na Kiongozi Mpenda Maendeleo asiyechoka
" Kwa niaba ya Chadema natuma salamu za pole kwa mama na familia...
Makonda alikuwa mlezi wa kampuni ya wasafi inayomilikiwa na mwanamuziki Diamond. Mara kadhaa alisikika akimkemea Harmonise asivute misokoto yake. Lakini tangu aukose ukuu wa Mkoa, Wasafi waliona...
Kwanza kabisa tuipe pole familia ya mzee Lowasa kwa kuondokewa na kipenzi chao, pia pole kwa wa Tanzania kuondokewa na waziri mkuu mstafu.
Makonda nakuita mara tatu, bado nitasema mimi ni...
Tanzania ni taifa rafiki na babu yake mzee Kim il sun na kumbukumbu zake nyingi sana za utawala wa Juche zipo maktaba ya kibaha. Karibu Tanzania Kim jong kiduku un
Kama unabisha subiri salaam za Pole zitakavyokuwa zinatolewa pale Karimjee na Monduli
Ndio utaamini hii Dunia isingeongozwa na Wanasiasa ingekuwa salama Sana Kuishi na Kuyafurahia maisha ya Asili...
Mtu mwenye akili ndogo, mwenye roho ya umaskini ni kama mchawi tu.
Furaha yake ni kuona tajiri anashuka sio yeye kupanda. Maskini wa akili na kipato waliufurahia sana utawala wa Magufuli maana...
Makamu wa Rais Dr. Mpango kwa niaba ya Rais Samia amemkabidhi Askofu mteule wa KKKT Kaskazini Kati Dr. Mollel tsh 10 mil kutumia kama atakavyoona inafaa kwenye Sherehe yake ya kuingizwa Kazini...
MUHTASARI
Mlipuko wa Covid-19 unasambaa ukiambatana na taarifa nyingi zisizo sahihi au za kupotosha. Taarifa hizi zinatengenezwa, ama kwa watu kukosa uelewa sahihi wa jambo wanalolizungumzia au...
TAMKO LA JUMUIYA YA VIJANA KUUNGA MKONO KAZI YA SEKRETARIETI YA CHAMA CHA MAPINDUZI CHINI YA KATIBU MKUU NDUGU ABDULRAHAMAN KINANA
..Chama Cha Siasa chochote duniani hubomoka kutokana na...
Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. Dkt. Bernard Kibesse amefanya ziara katika Kaunti ya Kisumu ambapo pamoja na mambo mengine, amekutana kwa mazungumzo na Gavana wa Kaunti ya Kisumu – Kenya...
Makamu wa Rais Dr. Mpango amesema anajua Mchango mkubwa uliotolewa na Mzee Lowassa kwenye Maendeleo ya Arusha.
Lowasa alikuwa mchapakazi na Mpenda Maendeleo hivyo nikitua DSM nitakwenda Moja kwa...
Wanabodi,
Uchaguzi Mkuu ulifanyika na kumalizika ile Octoba 25,2015 na matokeo 'halali' yametoka!, aliyeshinda ameshinda, aliyeshindwa ameshindwa kwa mtindo wa "The winner takes it all, and the...
Ninashauri wanaprotokali wa maombolezo na heshima kwa Lowassa kwamba itambuliwe kwamba Lowassa ameiletea heshima nchi yetu akiwa ndani ya CCM na ndani ya CHADEMA.
Dunia ilishuhudia ukomavu wa...
Wanabodi,
Jumapili ya leo, nimepata tena fursa ya kuendelea kuhamasisha, watu wajitokeze kwa wingi kupiga kura kwa muktadha wa kuchagua kuendelea kuwa masikini, au kuchagua utajiri!.
Wakati...
MR Antonio GUTTERES should resign immediately to protect his honor as we have seen his office has supported HAMAS to invade, kill, abduct, and rape innocent ISRAEL people. This is evidenced by...
Sasa hivi wanajipitisha pitisha eti wanasikiliza kero.
Kero gani ambazo hujaziona na kuzifanyia kazi miaka mitano yoote ambazo utatatua kwa miezi michache iliyobaki.
Sijaona watu wanafiki kama...
Ni kipi physical ambacho nchi husika zimefaidika nacho, binafsi sioni chochote ambacho labda tunaweza kuiga na kukifuata toka katika nchi hizo ambazo zilialika vyama vya upinzani viwaongoze, zaidi...